Absa Bank Tanzania Pugu Branch Manager, Veronica Okio (right), and bank customer, Fuad Salmeen (in white coat) cuts a ribbon to inaugurate Absa’s Pugu new branch along Nyerere Road in Dar es Salaam during the weekend. Second right is ABT Head of Branch Network, John Beja.
Absa...
Monday, August 31, 2020
Thursday, August 27, 2020
Benki ya DCB yamtembelea Mama Mkapa na kumpa mkono wa pole
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), akipokea nishani yenye ujumbe wa maneno ya Rais Mkapa kuhusu uanzishwaji wa benki ya Biashara ya DCB kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Benki hiyo, Zawadia Nanyaro wakati yeye, Mkurugenzi Mtendaji,...
Wednesday, August 26, 2020
DAWASA WAZIDI KUSOGEZA HUDUMA YA MAJI KWENYE MAENEO YALIYOKUWA NA CHANGAMOTO UKOSEFU WA MAJI SAFI

Mamlaka ya Maji safi na Maji taka Dar es salaam DAWASA katika mkakati wake wa kumtua Mama Ndoo kichwani wameendelea kusogeza huduma ya upatikanaji wa Maji safi na Salama kwa wananchi ambapo kwa sasa wapo katika utekelezaji wa Miradi mikubwa uboreshaji na usambazaji wa kwenye...
NMB Yawakomboa Wananchi Mlimba
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero - Ismail Mlawa (wa tatu kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Mlimba Wilayani Kilombelo Mkoani Morogoro wakati wa hafla ya ufunguzi iliyofanyika jana. Kutoka kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa - Baraka, Ladislaus, Meneja...
Tuesday, August 25, 2020
ZANTEL ORGANISES A GOLF TOURNAMENT AT LUGALO GOLF GROUNDS
The Foreign Affairs and East African Cooperation Deputy Minister, Dr. Damas Ndumbaro teeing off during the monthly golf tournament organised by Zantel and took place at the Lugalo Golf grounds in Dar es Salaam yesterday.
Kain Mbaya, a Lugalo Golf club player teeing off...
Monday, August 24, 2020
Absa Earnings Decline as Economic Impact of COVID-19 Increases Impairment Charges

*Salient points:
Revenue increased 3% to R40.1 billion
Operating costs fell 2% to R21.6 billion
Cost-to-income ratio improved to 53.9% from 56.7%
Pre-provision profit increased 9% to R18.5 billion
Impairments increased four-fold to R14.7 billion
Headline earnings...
Tuesday, August 18, 2020
RC KUNENGE AMTAKA MKANDARASI WA KAMPUNI YA NYANZA KUKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA KIVULE KABLA YA SEPTEMBER 30

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge akiongea na waandishi wa habari, mara baada ya kufanya ukaguzi wa ujenzi wa Daraja linalojengwa na Kampuni ya Nyanza lililopo katika barabara Kitunda-Kivule eneo la Mwailafu.
Muonekano wa Daraja linalojengwa na Kampuni...
ABSA TANZANIA LAUNCHES A NEW BRANCH IN DODOMA
Dodoma Regional Commissioner, Dr. Binilith Mahenge (second right), cuts a ribbon to officially open a new Absa Bank Tanzania branch in Tanzanian Capital, Dodoma, located at PSSSF House. Witnessing the event held this Monday are from right; Absa Head of Retail Banking, Oscar...
Friday, August 14, 2020
ABSA TANZANIA KUENDELEA KUWA MSTARI WA MBELE KUSAIDIA JAMII
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Hellen Siria (kushoto) na Meneja Miradi wa Makampuni kutoka Shirika linalojihusisha na kuboresha maisha ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu hasa wale walioathirika na ugonjwa wa ukimwi (Pact), Beatrice Kamugisha,...
Thursday, August 13, 2020
NBC yasaidia ujenzi wa madarasa shule ya Kizimkazi mjini Unguja

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (katikati), akiwasalimia baadhi ya maofisa wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), katika hafla ambayo NBC ilimkabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shs 29,200,000 kumalizia ujenzi wa madarasa manne ya Shule ya Awali ya...
Tuesday, August 11, 2020
Absa wins the Euromoney 2020 Excellence in Leadership in Africa award

The Absa Group headquarters in Johannesburg.
Absa Group, one of Africa’s leading diversified financial service group, was recently awarded the Euromoney 2020 Excellence in Leadership in Africa Award as a result of their integrated Covid-19 response for their employees,...