Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE), Prof. Godliving Mtui (kutoka kushoto), Mkuu wa Chuo cha Uhifadhi Wanyama Pori, Prof. Jaffari Kideghesho, Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emmanuel Mjema na Makamu Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),...
Tuesday, May 29, 2018
Monday, May 28, 2018
RESPECT BARBER SHOP YAFUTURISHA WAKAZI WA DAR
Ukizungumzia moja ya mameneja wenye majina makubwa kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva na Dansi hapa nchini, huwezi kuacha kutaja jina la Mohamed Kiumbe ‘Chief kiumbe’ jana amefuturisha jijini Dar es salaam katika ofisi za Respect Barber Shop Kinondoni...
MKOMBOZI BENKI YATOA GAWIO KWA WANAHISA.

Benki ya Biashara ya Mkombozi PLC, ni miongoni mwa benki ya biashara hapa
nchini inayokua kwa kasi. Imetashatangaza kutoa gawio la faida kwa wanahisa wake
wote ifikapo mwezi Julai mwaka huu.
Mkurugenzi mtendaji wa benki, Ndugu George R. Shumbusho amesema bank
itafanya...
Sunday, May 27, 2018
GSM YAJA NA BANDO LA NGUO.

Kufuatia kauli iliyotolewa na serikali siku chache kabla ya mfungo wa ramadhani ya kutaka wafanya biashara wote nchini kutopandisha bei bidhaa kampuni GSM inatekeleza agizo kwa kutoa punguzo la bei kwa bidhaa zake katika maduka yake yote hapa nchini.
Akizungumza na...
Friday, May 25, 2018
TMRC launches its 5 years Corporate Bonds issuance program
The 5
year corporate bond issuance program is worth TZS 120 billion
TMRC
will issue its first tranche of TZS 12 billion immediately in June 2018
Tanzania Mortgage Refinance
Company Limited (TMRC) launched its 5 year corporate bond issuance program to
the public today. ...
Wednesday, May 23, 2018
WANAWAKE WAJAWAZITO WAPEWA SOMO KUHUSU FISTULA.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kushoto), akizunguza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar,kulia kwake ni Mgeni rasmi Mwakilishi Mkazi wa Shirika la kimataifa linaloshughulikia idadi ya watu...
Monday, May 21, 2018
Balozi Ambokile kutangaza chakula cha Kitanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, SylvesterAmbokile , (kulia) akifurahia jambo pamoja na Mmiliki wa mgahawa huo.
Msanii wa bongo fleva sheta akipiga msosi katika Mgahawa huo.
BALOZI wa Tanzania nchini Afrika...