Meneja Usambazaji wa
Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samwel Shoo (wa nne kushoto), akikabidhi
sehemu ya msaada wa mifuko 500 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya sh milioni
sita kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Omari Twakali (wa tatu
kushoto) iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati wa shule hiyo ambayo ni
moja ya shule kongwe za sekondari nchini. Hafla ya makabIdhiano ilifanyika
katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga juzi mwa wiki. Wengine ni baadhi ya
wafanyakazi wa TCPLC.
Meneja
Machimbo wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Godwin Kamando akikabidhi sehemu
ya msaada wa mifuko 500 ya saruji kwa Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa,
Omari Twakali (wa tatu kushoto) ilyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ukarabati
wa shule hiyo ambayo ni moja ya shule kongwe za sekondari nchini katika. Hafla
ya makabidhiano yalifanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga juzi.
0 comments:
Post a Comment