Beki wa timu ya soka ya
Benki y NMB Hezbon Mpate (kushoto), akiwnia mpira na mshambuliaji wa timu
ya Benki ya DTB Martin Komba wakati wa mchezo wa uzinduzi wa mashindano
ya ligi ya mabenki iiyopewa jina la Brazuka kibenki itakayo shirikisha
timu15 kutoka Benki mbalimbali. mchezo huo wa uzinduzi ulifanyika katika
viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. DTB iliibamiza timu ya
NMB kwa mabao 4-0.
Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB Martin Komba (kulia), akiwatoka ma beki wa
timu ya NMB wakati wa mchezo wa uzinduzi wa mashindano ya ligi ya mabenki iyopewa jina la
Brazuka kibenki itakayo shirikisha timu15 kutoka Benki mbalimbali. mchezo
huo wa uzinduzi ulifanyika katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki. DTB iliibamiza timu ya NMB kwa mabao 4-0.
0 comments:
Post a Comment