A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Sunday, November 28, 2021

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO JUKWAA LA USHIRIKIANO KATI YA CHINA NA AFRIKA

  

Na mwandishi wetu, Dakar | Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unaoanza leo tarehe 28 hadi 30 Novemba 2021 jijini Dakar nchini Senegal.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) ataongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo.

Katika Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika, Marais wa Nchi Wenyeviti Wenza wa Mkutano huo Rais wa Jamhuri ya Senegal Mhe. Macky Sall na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping watahutubia Mkutano huo.

Mkutano huo wa Mawaziri wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika unatanguliwa na Mkutano wa Maafisa Waandamizi unaoanza leo tarehe 28 Novemba 2021 hapa Jijini Dakar, Senegal ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mpango Zanzibar Dkt. Juma Akil na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bibi Amina Shaaban watashiriki.

Mkutano huo utakaowashirikisha viongozi na wawakilishi kutoka nchi za Bara la Afrika na Jamhuri ya Watu wa China pamoja na mambo mengine utajikita katika majadiliano ya maeneo yafuatayo:- Ushirikiano wa Kisiasa, Ushirikiano wa Kiuchumi, Ushirikiano wa Maendeleo ya Kijamii, Utamaduni na Ushirikiano kati ya Watu na Watu, Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama, Mapinduzi ya Kijani, Ubadilishanaji Uzoefu katika masuala ya Uongozi Bora pamoja na Maendeleo ya Kitaasisi ya Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika.
Share:

RC MONGELA AWATAKA VIONGOZI KUSIMAMIA MIRADI YA MAJI ARUSHA

 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela akizungumza na wadau wa maji jijini Arusha kulia kwake ni Bi Valentina Masanja ambaye ni msimamizi wa watoa huduma za maji kutoka wizara ya Maji. (Picha na Jane Edward, Arusha)
Mkuu wa wilaya ya Longido Nurdin Babu akizungumzia changamoto ya maji katika wilaya yake wakati wa mkutano huo.

Na Jane Edward, Arusha | MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela amewataka wenyeviti, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wote kusimamia miradi ya maji ili kuweza kuondoa Changamoto ya upatikanaji maji katika Mkoa wa Arusha.

Mongela ameyasema hayo katika mkutano wa watoa huduma ya maji ngazi ya jamii (CBWSOs)na wadau wa sekta ya maji vijijini mkoani Arusha.

Amesema lengo la serikali ya Mama Samia ni kuhakikisha miradi ya maji inakamilika kwa haraka ili wananchi waweze kupata maji kwa uhakika.

Amebainisha vipo vifaa vya kutengenezea miundombinu ya maji vinacheleweshwa na hivyo kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maji kwa wakati ambapo ameomba wizara ya maji kuwahisha vifaa hivyo ili kutokwamisha miradi hiyo.

"RUWASA mna kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha maji yanapatikana,mimi nataka wilaya za Mkoa wa Arusha ziwe kwenye hali nzuri ya upatikanaji maji,kwahiyo tushirikiane kwenye hili"amesema Mongela.

Kwa upande wake Meneja wa watoa huduma za maji ngazi ya jamii nchini Valentina Masanja anasema anatambua kuwa maji ni siasa na siasa hiyo ipigwe kwa uwangalifu ili maji yaweze kupatikana kwa haraka ingawa ruwasa ilipotoka na ilipo sasa imepiga hatua kubwa sana.

Amesema wanasiasa wasaidie kuhakikisha kuwa wananchi wanatoa ushirikiano katika upatikanaji maji kwani haki inaenda sambamba na wajibu.

Hata hivyo amemuhakikishia Mkuu wa Mkoa kuwa maelekezo aliyoyatoa wao kama wizara watayafanyia kazi ili kuhakikisha malengo ya serikali katika sekta ya maji yanakamilika.
Share:

RAIS MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UMAWA IKULU ZANZIBAR

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya UMAWA, walipofika Ikulu kwa mazungumzo ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw.Mussa Miraji Vuai (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya UMAWA Zanzibar, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw. Mussa Miraji Vuai akiwa na ujumbe wake. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Uongozi wa UMAWA Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Share:

NBC Donates 920 Concrete Bags And 100 Desks To Improve Education Once And Mtwara

 
Bank Bank Southern Region Manager Ms Zubeider Haroun (first from left) and NBC Bank Mtwara Branch Manager Ms Editha Mwakatobe (second from left) handing over 50 desks to Mtwara District Commissioner Mr Dunstan Kyobya (third right) ) as part of the 100 desk support provided by the bank to Libobe and Advertising secondary schools in Mtwara district with the aim of assisting the government and citizens in improving the education environment in the country during the handover ceremony held at Libobe Secondary School over the weekend. Others include Libobe Secondary School Principal Mr Shadrack Nguvila (second right) and the school's Board Chairman Mr Ally Ngoda (Right)
NBC Bank Musoma Branch Manager Ms Sophia Lyimo (fourth left) and other bank officials handing over a portion of 920 bags (equivalent to 46 tons) of cement donated by NBC Bank to support the construction of two dormitories. girls and boys at the School under the leadership of the school led by the Principal of the School Mr Mtani Shadrack (Center) during the handover ceremony held at the school over the weekend.
Students of Kiriba Secondary School in Musoma District Council in Mara Region along with NBC Bank Musoma branch staff and the school administration displaying a portion of 920 bags (equivalent to 46 tons) of cement donated by NBC Bank to to support the construction of two dormitories for girls and boys at the School during the handover ceremony held at the school over the weekend.
Mtwara District Commissioner Mr Dunstan Kyobya (Right) with Bank Bank Southern Region Manager Ms Zubeider Haroun (second left), NBC Bank Lindi Branch Manager Mr Iovin Mapunda (first left) with school students Libobe Secondary School located in the district sitting at desks provided by NBC Bank with the aim of assisting the government and citizens in improving the education environment in the country during the handover ceremony held at the school over the weekend.
NBC Bank Lindi Branch Manager Mr Iovin Mapunda talking to students at Libobe Secondary School in Mtwara District as the bank handed over 50 desks to the school as part of the bank's 100-desk support for secondary schools. Libobe and Advertisements in Mtwara district with the aim of assisting the government and the people in improving the education environment in the country. Listening to her is also the Bank's Southern Region Manager Ms. Zubeider Haroun (Left)

The National Commercial Bank (NBC) has donated 920 bags of cement (equivalent to 46 tonnes) worth shs 21 million for the construction of two dormitories at Kiriba Secondary School located in Musoma District Council in Mara Region along with support. of 100 desks in Libobe and Advertising Secondary Schools in Mtwara Region as part of the bank's initiative in supporting the efforts of the government and the people in improving education in the country.

Speaking at the handover ceremonies held over the weekend at the schools, NBC Musoma Branch Manager Sophia Lyimo and NBC Mtwara Branch Manager Editha Mwakatobe said the donations were aimed at supporting the ongoing efforts. and government as well as citizens in the areas concerned by improving education infrastructure.

The 920 bags of cement we are handing over today are to support the construction of two dormitories for girls and boys at Kiriba Secondary School. Citizens and the government have successfully built dormitories and we have seen to it that we support them by providing them with concrete so that they can achieve this important initiative which aims to help students who study here not to travel long distances to pursue education,'' said Ms Lyimo.

He commended the government for providing 60 million shs to facilitate the construction of classrooms at the school.

Speaking at a similar ceremony to hand over 50 desks for Libobe Secondary School in Mtwara District, NBC Bank Mtwara Branch Manager Ms Editha Mwakatobe said the donation was part of the bank's 100 desk support for the Secondary School as well. and Advertising Secondary School located in the district as well, with the same goal of ensuring that they support the government and the people in improving the educational environment in the country.

"Our goal is to ensure that these children's educational dreams are realized and also to support our President Mama Samia Suluhu Hassani in providing quality education. So we are handing over these desks and chairs for these students as it is a pleasure for NBC to see children overcome the various challenges they face especially in terms of education” said Ms Mwakatobe.

Speaking immediately after receiving the support of chairs and desks for Lipobe Secondary School, Mtwara District Commissioner Dunstan Kyobya thanked the bank for its support and said the government was committed to ending academic challenges in collaboration with various stakeholders including the bank. citing the school which is in the process of constructing two classrooms and a teachers' office with funding of shs 40 mil provided by the government.

"This support has come at the right time because the need is 72 chairs and tables for students who will start classes early next year… we are very grateful to NBC bank for supporting us after submitting our application and they did not hesitate to help us. This is just the beginning because next week NBC Bank will again provide us with such support for Secondary Advertising,'' he thanked.

Mr Kyobya further asked the bank to look into the possibility of opening a branch or agency service in the area to support access to financial services for those citizens who despite earning a lot of money through cashew farming have still been facing financial shortages.

For their part, the principals thanked NBC Bank for its contribution to the education sector including the construction and renovation of classrooms, dormitories and desk support as these efforts have been helping to accelerate government and citizens' commitment to improve education delivery. here in the country.

"Personally I am very relieved by this support from NBC and in fact we still need other stakeholders to volunteer to help as they did this bank. We sent letters asking for help and we are grateful they received and acted on it and the result is what we see today we are receiving this great support aimed at supporting the efforts of the people and our government… thank you very much NBC,'' said Mtani Shadrack, Principal of Kiriba Secondary School , Musoma district.
Share:

JAJI WARIOBA AONGOZA MAHAFALI YA 38 YA CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO SUA MOROGORO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokine cha Kilimo (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba akimtunuku Shahada ya Uzamivu mmoja wa wahitimu katika mahafali ya 38 ya chuo hicho yaliyofanyika jana mkoani Morogoro.
Kiongzi Rasmi wa shughuli za Mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Mlau Profesa Kalunde Sibuga akiongoza msafara wa Mkuu wa chuo kuingia kwenye ukumbi wa mahafali yaliyofanyika jana mkoani humo.
Mlau Profesa Kalunde Sibuga akitoa neno la ukaribisho wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.
Mahafali yakiendelea.
Mwenyekiti wa Baraza Jaji Mkuu Mstaafu Mohammed Chande Othman akizungumza kwenye mahafali hayo.
Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Raphael Chibunda akielezea utekeleza wa shughuli mbalimbali za chuo hicho.
Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.
Nabii Makamu Mkuu wa chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu Profesa Maulid WaladMwatawala akizungumza kwenye mahafali hayo.
Mahafali yakiendelea.
Mkuu wa chuo hicho Jaji Joseph Warioba akiwatunuku wahitimu.
Mahafali yakiendelea.

Na Calvin Gwabara, Morogoro | CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeitikiza maagizo ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere ya kutambua mahitaji na kutatua changamoto mbalimbali za kilimo cha Tanzania na maisha ya wananchi hasa wa vijijini.

Kauli hiyo imethibitishwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman wakati wa hotuba yake ya utekelezaji wa majukumu ya Chuo kwenye mahafali ya 38 ya Chuo hicho yaliyofantika kwenye Kampasi ya Edward Moringe Mkoani Morogoro.

Baraza la Chuo limeendelea kutekeleza majukumu kwa ufanisi, majukumu hayo ni pamoja na kuisimamia Menejimenti ya Chuo ili itekeleze majukumu makuu ya Chuo ambayo ni kutoa mafunzo, kufanya utafiti, kutoa huduma za kitaalamu,ugani na kuzalisha mali na Majukumu hayoyanatimiza kikamilifu agizo la Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye katika hotuba yake ya uzinduzi wa Chuo hiki mwaka 1984 alisema namnukuu “Chuo Kikuu hiki lazima kitambue mahitaji na kutatua matatizo ya kilimo cha Tanzania na maisha huko vijijini” mwisho wa kumnukuu Baba wa Taifa.”alibainisha Mhe. Chande.

Aisha Kwa niaba ya Baraza la Chuo Jaji Mkuu Mstaafu Chande Othuman ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa fedha za ruzuku na fedha za maendeleo inazotoa kwa Chuo kwani bila fedha hizo Chuo kisingeweza kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.

Hivi punde tutashuhudia wahitimu wakitunukiwa stahili zao za kitaaluma baada ya kuhitimu mafunzo yao mbalimbali, hivyo, napenda kuungana na wazazi, walezi, ndugu, jamaa, marafiki na wadau wote wa elimu katika kuwapongeza kwa dhati wahitimu wote kwa mafanikio waliyoyafikia kwa kufaulu na kuhitimu masomo yao na hivyo kustahili kutunukiwa tuzo walizofuzu.” alisema Jaji Othman Chande.

Mafanikio haya yamepatikana kutokana na bidii na ushirikiano wa wahitimu wenyewe, wanataaluma waliowafundisha,watumishi wote wa Chuo na wadau wengine, aidha nawapongeza na kuwashukuru wanataaluma na watumishi wengine wote wa Chuo waliowawezesha wahitimu hawa kufikia malengo yao ya kitaaluma”.

Awali Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Raphael Chibunda amesema Seneti ya Chuo katika Mkutano wake Maalum wa 271uliofanyika tarehe 17 Novemba, 2021, iliidhinisha kuwa katika mwaka wa masomo 2020/2021, Jumla ya wahitimu 4,044 (Wanaume 2,330 na Wanawake 1,714) walifaulu na kutimiza masharti yote ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu masomo yao katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo.

“Kwa kutambua kwamba kusoma na kufikia hatua ya kutunikiwa cheti katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo haijawahi kuwa lelemama niombe ridhaa yako ya kuungana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo kuwapongeza kwa dhati watunukiwa wote kwa juhudi zao katika masomo ambazo zimewawezesha kufikia mafanikio waliyoyapata na ni matarajio yetu kwamba mafanikio haya yatakuwa kichocheo cha ufanisi, tija na ubunifu katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa ikiwemo kuzalisha mali na kutoa huduma bora kwa jamii na taifa kwa ujumla. alieleza Profesa Chibunda.

Aidha amesema wanawatarajia wahitimu hao wawe mabalozi wa kukitangaza Chuo vizuri kwa tabia na utendaji wao mzuri wa kazi lakini pia ni mategemeo ya Chuo kwamba watatumia elimu waliyopata kwa kufanya kazi kwa bidii, weledi na ubunifu kwa maendeleo ya nchi.

Makamu huyo Mkuu wa Chuo amesema katika mwaka wa masomo 2021/2022 Chuo kimesajili wanafunzi 4,694 wa Shahada za Kwanza, Stashahada na Atashahada, pia Chuo kimesajili jumla ya wanafunzi 489 wa masomo ya uzamili (Umahiri na Uzamivu) hivyo kwa sasa Chuo kina jumla ya wanafunzi 14,581 kati yao wanafunzi 13,827 ni wa Shahada za Awali na 754 ni wa Shahada za Juu; Wanafunzi wa Kigeni waliopo chuoni ni 101 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na nje ya Bara la Afrika.

Pia amesema Utekelezaji wa majukumu ya Chuo umezingatia Mpango Mkakati wa Chuo wa mwaka 2021 - 2026 na vilevile, Chuo kinatekeleza shughuli zake kwa kuzingatia sera, miongozo na kanuni zilizowekwa na Baraza la Chuo pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknojojia.

Akizungumzia upande wa Utafiti amesema Miradi mipya ya utafiti; Katika kipindi cha mwezi Desemba, 2020 hadi sasa, Chuo kimepata miradi mipya 40 ya utafiti yenye thamani ya shilingi 9,078,354,423.78 ambapo miradi hiyo inafadhiliwa na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi.

Profesa Chibunda pia amezungumzia kupanda kwa Ubora wa Chuo kimataifa kuwa Chuo kimeendelea kufanya vizuri kwenye nyanja ya taaluma na utafiti na kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na mtandao wa ‘‘Webometric’’ Mwezi Julai, 2021 Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kilishika nafasi ya 51 kwa ubora barani Afrika, na nafasi ya pili (2) kati ya Vyuo Vikuu 53 vya Tanzania. Nafasi ya Chuo imepanda kwa nafasi mbili ukilinganisha na matokeo ya Mwezi Januari 2021 ambapo SUA ilishika nafasi ya 67 kwa ubora katika Vyuo Vikuu bora Afrika.

Pia ameongeza kuwa katika nyanja ya utafiti SUA imeshika nafasi ya kwanza kitaifa, nafasi ya 31 katika bara la Afrika kwa kupata nukuu (citations) 98,143 kwenye Google scholar citation index.

Katika orodha ya watafiti bora Tanzania iliyotolewa na Shirika la ad scientific index SUA imefanikiwa kutoa watafiti bora 19 kati ya watafiti bora 50 Tanzania. Katika orodha hiyo mtafiti bora namba moja nchini (Prof. Rudovick Reuben Kazwala) anatoka SUA na kati ya watafiti kumi (10) bora SUA imetoa watafiti wanne (4).” alifafanua Makamu Mkuu wa Chuo.

Aidha amesema Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ni miongoni mwa Taasisi za Elimu ya Juu nchini zitakazofaidika na Mradi wa Kuboresha Elimu ya Juu ili Kuinua Uchumi (HEET) unaofadhiliwa kwa mkopo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka Benki ya Dunia.

Share:

Saturday, November 27, 2021

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Viongozi Mbalimbali

  
Share:

Friday, November 26, 2021

SONGAS PAYS TZS 21.2 BILLION IN DIVIDENDS TO GOVERNMENT-OWNED ENTITIES


Dar es Salaam, 2021 | Songas Limited, a Tanzanian gas-to-power company, has paid the Government TZS 21.2 billion (USD 9.2 million) in dividends for the financial year 2021 due to its shareholding in the company.

Songas is a strategic partner with the Government in meeting the growing energy demand since it began operations in 2004. The company is owned by Government related entities; Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) 28.69%, Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) 9.56% and Tanzania Development Finance Company Limited (TDFL) 7.65% as well as Globeleq 54.1%, a leading independent power producer solely focused in Africa.

In a statement, issued by the company, the Managing Director, Anael Samuel, said, ‘In 2021, TANESCO has received about TZS 4.4 billion (USD 1.9 million), TPDC TZS 11 billion (USD 5.2 million), while TDFL received about TZS 3.5 billion (USD 1.5 million). All amounts are subject to withholding tax.

Since it began operations, the company has paid TZS 157 billion in dividends to Government-owned entities. ‘The ongoing drought in the country demonstrates that an energy mix to complement hydropower is crucial to the sustainability of the energy sector in Tanzania’, said Anael. The Songas Ubungo Power Plant is an efficient world-class operation generating at 109% of the contracted capacity.

Songas contributes approximately 20% of the country’s electricity and is currently the cheapest thermal generator of electricity in East Africa. The demand for electricity in Tanzania is estimated to be growing at 10–15% per year, and the company is uniquely positioned to support the country’s industrialization.

By using domestic gas instead of imported fuel, TPDC estimates that since Songas began its operations in 2004, it has saved the Tanzanian economy more than TZS 11 trillion.

About Songas:

Songas is a leading Tanzanian gas-to-power company generating 180 MW (approximately 20%) of Tanzania’s electricity supplied to the national grid and distributed by the national utility, TANESCO. It also supplies natural gas to industrial customers to use in manufacturing processes. Since 2004, Songas has been a reliable and low-cost provider of electricity to TANESCO. Songas sells 180MW of electricity to TANESCO at an all-in tariff of 135 TZS/kWh, and TANESCO subsequently sells it to consumers at 270 TZS/kWh, including distribution costs. Last year Songas provided 21% of the grid’s demand for electricity, from 13% of the generation capacity.
Share:

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 116.34 KUJENGA BARABARA MTWARA

 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara, wakisaini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 116.34 (tshs bilioni 268.18) kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Mnivata – Newala – Masasi mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilometa 160 kwa kiwango cha lami, Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara, wakibadilishana Hati za Mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 116.34 (tshs bilioni 268.18) kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Mnivata – Newala – Masasi, mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilometa 160 kwa kiwango cha lami, Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara, wakionesha Hati za Mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 116.34 (tshs bilioni 268.18) kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Mnivata – Newala – Masasi mkoani Mtwara yenye urefu wa kilometa 160 kwa kiwango cha lami, Jijini Dar es Salaam.

Tanzania imesaini makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa thamani ya dola za Marekani milioni 116.34 (takribani shilingi bilioni 268.18) kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kutoka Mnivata-Newala-Masasi mkoani Mtwara yenyeurefu wa kilomita 160 kwa kiwango cha lami.

Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Emmanuel Tutuba, kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara.

Bw. Tutuba alisema kuwa kusainiwa kwa mkataba huu utaongeza kiasi cha fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia ufadhili wa Benki ya Maendeleo ya Afrika kutoka takribani dola za Marekani bilioni 2.27 hadi kufikia dola za Marekani bilioni 2.39.

Hiki ni kiashiria tosha cha ushirikiano mzuri na wa muda mrefu wa maendeleo tangu mwaka 1971 kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika”, alisisitiza.

Alieleza kuwa fedha hizo pia zitatumika kujenga daraja la mto Mwiti lenye urefu wa mita 84, ujenzi wa stendi mpya za mabasi katika wilaya tatu (3) za Tandahimba, Newala na Masasi zinazonufaika na mradi, ununuzi wa magari mawili (2) ya kubebea wagonjwa na mashine mbili (2) za X-ray za kupima wagonjwa na utekelezaji wa mikakati ya usalama barabarani pamoja na mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake na vijana.

Bw. Tutuba alisema kuwa gharama za utekelezaji wa mradi ni dola za Marekani milioni 119.65 ambapo Benki ya Maendeleo ya Afrika imetoa dola za Marekani milioni 116.34 na Serikali ya Tanzania itachangia dola za Marekani milioni 3.31.

Aliongeza kuwa utekelezaji wa mradi huo unalenga kuimarisha miundombinu ya usafirishaji katika Ushoroba wa Maendeleo wa Mtwara ili kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kupunguza umaskini kwa wananchi.

Bw. Tutuba, alisema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa barabara hiyo utaunganisha Bandari ya Mtwara na Mikoa ya Kusini mwa Tanzania na kufungua masoko ya kikanda katika nchi za Msumbiji na Malawi.

Aidha, alisema kuwa kukamilika kwa mradi huo kutarahisisha shughuli mbalimbali za uchumi ikiwemo utafiti wa gesi, usafirishaji wa saruji, bidhaa za viwandani, pamoja na mazao ya kilimo likiwemo zao la korosho.

Bw. Tutuba alisema Serikali itaendelea kufanya kazi kwa karibu na Benki ya Maendeleo ya Afrika ili kuimarisha ushirikiano wa kimaendeleo.

Kwa upande wake Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo wa Benki ya Maendeleo (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdual Kamara, alisema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa barabara hiyo kutawezesha kuendeleza maeneo ya vijijini kwenye Ukanda huo wa Maendeleo wa Mtwara na kufanya eneo lote la barabara ya lami kufikia kilometa 816 hivyo kuchochea maendeleo ya maeneo hayo ikiwemo Bandari za Mtwara na Mbamba Bay katika Ziwa Nyasa.

Mradi huo utarahisisha usafirishaji wa abiria na mizigo katika ukanda wa Afrika na nchi jirani ya Msumbiji, Malawi na Zambia ambazo zitahudumiwa na Bandari ya Mtawara”, alisisitiza Dkt. Kamara.

Dkt. Kamara alisema kuwa mradi huo unatarajiwa kuleta manufaa makubwa katika uchumi wa nchi ambapo inakadiriwa kuwa utachangia uchumi kwa zaidi ya asilimia 20.6 utakapo kamilika.

Kusainiwa kwa mkataba huo utaongeza ufadhili wa benki hiyo hapa nchini, kwenye Sekta ya barabara kwa kiwango cha dola za Marekani bilioni 1.52 ikiwa sawa na asilimia 82 ya fedha zilizowekezwa na benki hiyo hapa nchini unaofikia takribani dola za Marekani bilioni 2.47 ambazo kwa kiwango kikubwa zimeelekezwa kwenye Sekta ya miundombinu ikiwemo usafirishaji , nishati pamoja na maji na usafi wa mazingira.

Dkt. Kamara, ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kufanikisha upatikanaji wa mkopo huo na kusisitiza umuhimu wa kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mradi huo ili ulete manufaa yaliyokusudiwa kwa wakati.

Akizungumzia utekelezaji wa mradi huo, Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania, Mandisi Rogatus Mativila alisema kuwa wamegawanya katika awamu mbili na kwa kuanzia wataanza na kipande cha Mnivata hadi Mitesa kilomita 100 kupitia Newala na awamu ya pili itakua kipande cha kutoka Mitesa hadi Masasi kilomita 60 ikihusisha ujenzi wa daraja la Mwiti.

Aidha mradi huo utahusisha pia ujenzi wa miradi mbalimbali ya kijamii ikiwemo vyumba vya madarasa, nyumba za walimu na madaktari na mashine za kubangulia korosho na maghala ya kuhifadhia korosho.

Aliahidi pia kusimamia utekelezaji wa mradi huo kwa weledi kwa kuzingatia vigezo vyote vilivyowekwa ili uweze kukamilika kwa wakati kama ilivyokusudiwa.
Share:

Thursday, November 25, 2021

TANZANIAN BANKS PLEDGE CUTS IN INTEREST RATES

 
President Samia Suluhu Hassan speaks during the 20th Conference of Financial Institutions (COFI) meeting on recovery of the economy from the Covid-19 pandemic and beyond in Dodoma yesterday.

Dodoma, 25 November 2021 | Tanzanians should expect a reduction in lending rates if the ongoing strategies between commercial banks and the Bank of Tanzania (BoT) are anything to go by.

Giving his remarks during the 20th Conference of Financial Institutions (COFI), the Tanzania Bankers Association (TBA) chairman, Mr Abdulmajid Nsekela, said lending interest rates would soon start going down, saying a number of issues were being deliberated between lenders and the BoT.

President Samia Suluhu Hassan has continuously called upon banks to improve lending and reduce interest rates. The BoT has come up with a number of interventions for policy reforms that will see banks reducing interest rates soon,” he said during the conference that was themed: ‘Tanzania Economy: Recovery from Covid-19 Pandemic and Beyond’.

Debate on reduction of lending rates had been heightened during the past few months after BoT introduced in July some policy measures that were meant to lay a solid framework to increase liquidity and reduce the cost of lending to the private sector.

Among the measures, the BoT said it would introduce were a Sh1 trillion special loan fund for banks and other financial institutions to access money for lending to the private sector.

Speaking yesterday, Mr Nsekela, who doubles as managing director of the CRDB Bank Plc, said the banks have been doing simulation (coming up with statements on reducing various lending rates) - and will soon individually start to announce reduction of their interest rates.

He hailed BoT for taking measures to cushion the sector against the challenges caused by the viral Covid-19 pandemic.

He noted that the banking sub-sector has also put in efforts to improve its technology in order to reach more Tanzanians through digital products - adding that similar efforts had been made to ensure lending is extended to small-scale farmers.

He, however, noted that the sector was still grappling with high levels of Non-Performing Loans (NPLs), currently standing at Sh1.2 trillion.

The BoT Governor, Prof Florens Luoga, said that, to ensure sustainable economic growth, the banking sub-sector’s regulator has implemented a number of policies that aim to reduce loan interest rates, increase liquidity in banks and increase loans in the agriculture sector. The BoT was also sensitising on the use of digital payments, including a reduction of statutory minimum reserves.

As a result, he said, the banking sub-sector continues to be profitable and well-capitalised.

The ratio for liquid assets-to-demand liabilities grew to 33.3 percent for 2020/21, compared to the required 20 percent. This means that banks had adequate liquidity to issue loans to the private sector,” he said.

Similarly, NPLs have gone down to 9.3 percent in June 2021, from 10.8 percent in June 2020. However, he said, BoT wants them to go down further: to five percent, even!

Our hope is that the economy will grow fast to reach 8 percent in the next five years- and the estimates are as a result of growth in use of resources and productivity,” he said.

It is our hope that banks and other financial institutions will support us to reduce loan interest rates. That is why we will be discussing a topic on scaling up private sector credit beyond the Covid-19 pandemic, responsibilities of the government, financial institutions and the private sector."

He said the BoT has come up with the Tanzania Instant Payment System (TIPS) aimed at reducing the cost of digital payments that was completed in July 2021 and is currently at its trials stage.

On digital currency, the central bank Governor said BoT has come up with Central Bank Digital currency (crypto-currency) for private sector which would ensure that Tanzania moves with the rest of the world in the technology.

Gracing the event, President Samia Suluhu Hassan said proper private sector growth was dependent on adequate and affordable loans from the banking sub-sector.

In June this year, I touched on the issue of interest rates, and directed BoT to reduce lending rates - which they have worked on,” she said.

Also, TBA revealed that they expect to reduce their lending rates soon to further enable the private sector to borrow and implement development projects.

The President said she was curious about the performance of government securities market summary auction results which indicate a substantial increase in over-subscriptions in governmental securities.

She noted that the major players were financial institutions. But, while it was not for them to participate in financing government budget, the over-subscriptions show that they have enough liquidity that can also be directed to lending the private sector. But, this is not happening - and, as a result, lending continues to be low: at an annual growth of 4.3 percent, which is not healthy.
Share:

ABSA STARS AMONG RALLY OF IRINGA 2021 KEY MOVERS

 
Absa Bank Iringa Branch Manager, Sheillah Kajuna, flags-off to officially launch Rally of Iringa 2021 in Iringa recently. Absa was among key supporters facilitating the race. With her is the regions rally club patron and former Iringa DC, Richard Kasesera.
Absa Bank Iringa Branch Manager, Sheillah Kajuna (right) listens to a former Iringa District Commissioner, Richard Kasesela during the opening session of rally of Iringa 2021 in Iringa recently. Absa was among key supporters of the contest. On Kasesela's right are, Iringa rally club chairman, Amjad Khan, Kalenga legislator, Jackson Kiswaga and Iringa Regional Acting Fire and Rescue force Commander, Inspector, Peter Mziwanda.
Absa Bank Iringa Branch Manager, Shailla Kajuna (centre), greets Kalenga Constituency MP, Jackson Kiswaga, during the official flag-off of the Rally of Iringa 2021 in Iringa recently. Absa was among key supporters for the contest. Looking on is former Iringa DC and region's rally club patron, Richard Kasesera.
Iringa Rally Club Chairman, Amjad Khan (right), presents a certificate of appreciation to Absa Bank Iringa Branch Manager, Sheillah Kajuna, reciprocating the financial transnational's support in the Rally of Iringa 2021 contest which roamed in the region recently.
Absa Bank Iringa Branch Manager, Sheillah Kajuna (left), confers a medal for long-time rally participation to veteran driver, Depak Kotak, at the just-ended Rally of Iringa 2021, held in Iringa, which featured Absa among its key supporters.
One of the cars taking part in the Rally of iringa 2021 is daringly steered in a hair-raising manoeuvre.

Share:

Wednesday, November 10, 2021

BENKI YA TCB YAJIPANGA KUTOA ELIMU YA KIFEDHA NCHI NZIMA

01

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akizungumza na wafanyakazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), alipotembelea kwenye banda la lao, wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,

02
Mkurugenzi Mtendaji wa banki ya biashara Tanzania (TCB)   Sabasaba   Mushingi akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,
03
Meneja Masoko wa Benki ya Biahara ya Tanzania TCB Gloria Mutta (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja alietembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, katikati ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige 04Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja uwendeshaji Matawi wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), alipotembelea kwenye banda  lao, wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, wengine ni Maofisa wa Benki hiyo.

05Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB Deo Kwiyukwa (kulia), akizungumza na Meneja Masoko wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Mpesa Noel Mazoya  wakati alipotembelea banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali, kushoto ni Meneja Mahusiano wa Benki ya TCB Geace Majige

06
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa (kulia), akisaini kwenye kitabu cha wageni  alipotembelea banda la Benki ya Biashara Tanzania (TCB), wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umefanyika viwanjani hapo leo. ambapo katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Jamal Kassim Ali,

 

Wadau  pamoja na  wataalam wa huduma za fedha nchini  wamesema Tanzania ipo miongoni mwa nchi zilizopo kwenye  jangwa la sahara  ambazo zina  idadi  ndogo sana ya wananchni wanao tumia huduma za  kifedha   licha ya ujio wa huduma  za simu banki na wakala wa banki  kuongeza idadi ya watumiaji wa huduma hizo  asilimia 42 kutoka asilimia 23 katika kipindi cha miaka  miwili iliyopita lakini baado kunakazi kubwa ya kutoa elimu ili kukuza ulewa kwa watanzania   kuhakikisha wanafaidika na utumiaji wa huduma  za kifedha.

 

Ambapo Benki ya Biashara ya Tanzania TCB imejipanga kimkakati kwaajili yakutoa elimu ya kifedha nchi nzima ili kuleta tija na hamasa kila mtanzania aweze kutumia huduma hizo kwa urahisi ili kukuza uchumi wa nchi kupitia huduma za fedha.


 Akitoa taarifa hiyo  wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho ya Wiki ya Huduma za kifedha yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mkurugenzi Mtendaji wa banki ya biashara Tanzania (TCB)   Sabasaba   Mushingi amesema tanzania ni miongoni mwanchi ambazo zipo kusini mwa jangwa la sahara ambazo utafiti uanonyesha  inakazi kubwa ya kutoa elimi kwa   wananchi wake kuelewa umuhimu wa  kutumia huduma za fedha  licha ya ujio Taasisi nyingi za kifedha pamoja na mawakala wa Benki mbalimbali kuongeza idadi ya watumiaji wa uhuduma za kifedha

 

 ameongeza kwakusema kwa asimilimia 42 kutoka asilimia 23 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita bado idadi hiyo  ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine ambazo  hazipo kwenye ukanda huo  kwa hiyo ni muhimu kwa wadau wa fedha kuendelea kutoa elimu hiyo kwakuzingatia mahitaji ya watumiaji. 

 

 Aidha  mushingi ameongezea kuwa utafiti uanonyesha  suala la uelewa  mdogo wa masuala ya uhuduma za kifedha  ndio sababu inayopelekea wananchini wengi  wanaoishi kusini mwajangwa la sahara ikiwemo Tanzania  kuogopa kutumia huduma za kifedha   kwa kuamini sio huduma zinazoweza kumkomboa mtu wa kipato cha chini  lakini kupitia juhudi zilizoanza kuchukuliwa na serikali anaamini wananchi wengi watapata muamko wa kutuia huduma hizo ikiwemo huduma za bima.

 

Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na Mipango yameanza toka Novemba 08 hadi Novemba 14 mwaka huu yanalenga wadau mbalimbali wakiwemo; watumishi wa umma, wanafunzi, wakufunzi, wanawake, vijana, watu wenye mahitaji maalumu; wajasiriamali wadogo na wa kati (MSMEs); asasi za kiraia; Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari; watoa huduma za fedha; na umma kwa ujumla.

 

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wa Zanzibar, Jamal Kassim Ali amesema Serikali imepanga kutumia Fedha kwenye mitaji ya wajasiriamali wadogowadogo ambao wanatoa huduma za kifedha kwenye Mpango wa Maendeleo ya sekta ya Fedha hapa nchini.

 

Amesema Elimu ijikite kwenye huduma za Fedha ili waweze kukuza kipato cha mtu mmojamoja na kuongeza mapato kwa taifa hivyo ni vyema kujipima ipasavyo ili kuongeza ufanisi kwenye huduma za kifedha hapa nchini.

 

kwa upande wake Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania TCB Deo Kwiyukwa amesema Benki hiyo imeshiriki katika maonesho hayo ili kuweza kitangaza huduma wanazozitoa ili kuweza kupanua wigo kwa wananchi hasa wajasiriamali wadogowadogo.

 

Pia amesema TCB wanatoa huduma za kifedha kama vile kufungua akaunti, huduma ya benki kwa njia ya wakala, bima pamoja mikopo pamoja kuinua Biashara zinazowahusu wanawake hii yote ikiwa ni kuwafikia wananchi wote na kutoa huduma iliyobora

Share:

Tuesday, November 2, 2021

RC MAKALLA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUTORUDI NA KUFANYA BIASHARA KWENYE MAENEO WALIYOHAMA

 
  • Asema Serikali itatumia sheria kuyalinda maeneo hayo na kurudi kufanya biashara katika maeneo hayo ni kosa.
  • Awataka Wamachinga wengi Wajitokeze kupata nafasi Machinga complex.
  • Atangaza nafasi 2,000 na route Za magari ya Kariakoo kufika machinga complex na masoko mengine mkoani  DSM.
  • Asema zoezi hili ni endelevu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amesema Katika kuyalinda maeneo walipoondoka Machinga Serikali itatumia Sheria kwa Wote walioondoa Vibanda na kufanya Biashara Chini.

Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea Maeneo mbalimbali walipohamia Machinga kukagua changamoto ili Serikali izitatue, RC Makalla amewataka Wafanyabiashara waliokuwa Kariakoo, Karume, Msimbazi na Katika ya mji kufika Machinga Complex ili wapatiwe nafasi ambapo mpaka Sasa nafasi zilizosalia ni 2,100.
RC Makalla pia amewaelekeza Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi kuanza rasmi zoezi la Usafi kwenye maeneo yote walipoondoka Machinga na kuhakikisha yanalindwa yasivamiwe upya.

Aidha RC Makalla amesema Serikali itaendelea kufanyia kazi changamoto zote zitakazoonekana kwenye maeneo walipopelekwa ili Biashara zifanyike na Wafanyabiashara wapate kipato.
Kwa mujibu wa sheria za miji na majiji zinaeleza kuwa kufanya biashara kwenye maeneo yaliyokatazwa ni kosa kisheria ambapo adhabu kwa anaefanya kosa hilo ni kifungo Cha mwaka mmoja na faini ya Shilingi laki tatu.
Share:

Monday, November 1, 2021

ABSA BANK TANZANIA THANKS BOTH ITS ESTEEMED CUSTOMERS AND PARTNERS FOR LOYALTY AND SUPPORT

 
Absa Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed.

The Absa Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed on behalf of the Board, the Management and all employees of Absa Bank Tanzania, is honored to take the opportunity to say “Thank you” to the bank's customers and partners for their continued loyalty and support.

The MD said, as they emerge from the post Covid 19 era, he would like to reiterate the bank's commitment to bringing value to customers in line with the theme of the recently completed Customer Service Month, namely “Power of Service.

“Through a collective experience, we have all discovered a new strength, resilience and, technological advancements to render us a better business for you our customers and partners.

Today I would like to acknowledge the strength of our team, to each employee who has tirelessly worked and harnessed their energy and skills to meet the needs of our Customers and partners- “Thank you”. The wellbeing, health and safety of our employees and customers remain our top priority as we continue to focus on placing this at the center of all we do now and in the future.

To our customers, we continue to provide you the best products and services to ensure we play an integral part in your lifestyles as we respond to your needs according to the changing times. As part of our commitment to you we have invested in multiple feedback mechanisms to obtain real-time results that provide key insights into areas of improvement. We thank you for the positive reception of these solutions and value your feedback”, said Mr Mohamed.

The Absa Bank Tanzania Managing Director noted that, they had maintained strong working relations with their regulatory partners, ensuring compliance to all regulations, a set-up that has facilitated them as bankers to continue to provide the best services during and beyond the pandemic.

This was cumulated by our recent award of Award of Best Financial Institution in using ICT - “Tuzo ya Taasisi ya kifedha bora katika kutumia tehama” by the Ministry of Information, Communication and Information Technology. We thank our regulatory partners for the utmost support, commitment, solidarity, and guidance given to ensure we continue to provide continual exceptional service to all our customers.

As we continue to focus on building long-term banking relationships with you, we thank you for being part of our Banks growth and we value your support and continued trust in us , which remains the true foundation of our Success. We are extremely honored to serve you today and in the future”, added Mr Mohamed.
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive