A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Wednesday, July 31, 2024

Benki ya Absa Tanzania Yazindua Akaunti ya Akiba ya Vijana

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Swere (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa akaunti ya akiba ya vijana ya benki hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano, Bw. Aron Luhanga na...
Share:

Saturday, July 20, 2024

MADEREVA BODABODA TANGA WASHUKURU JESHI LA POLISI KWA KUTOA ELIMU KUHUSU USALAMA BARABARANI.

Na Mwandishi Wetu,TangaKAMANDA wa Polisi , Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga ACP Bernard Zacharia amewataka madereva bodaboda katika Mkoa huo kuwa  mfano wa kuigwa na mabalozi wazuri wa kutii bila shuruti sheria za salama barabarani ili kuhakikisha wanakuwa salama...
Share:

Thursday, July 4, 2024

ORYX YAMPA UBALOZI SHILOLE KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

KAMPUNI ya Gesi ya Oryx  imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole (Shishifood) kuwa balozi wao katika in kuhamasisha matumizi ya nishati safi kupikia kupitia mitungi ya gesi nchini.Lengo la Oryx kumpa Ubalozi Shilole unalenga kuunga mkono jitihata za Rais Dk.Samia...
Share:

Monday, July 1, 2024

Serikali ya Marekani Yashiriki Uzinduzi wa Ndondo Cup 2024, kupitia kampeni za SITETEREKI na FURAHA YANGU na CHANJO NI MAISHA

Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam akipata vipimo vya afya wakati wa hafla ya uzinduzi wa michuano ya Ndondo Cup 2024. Serikali ya Marekani, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) nchini Tanzania, imetangaza ushirikiano...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive