Meneja Masoko wa Taasisis ya Kifedha ya Y9 microfinance Bi Sophia Mang’enya (kulia), akikabidhi zawadi ya pikipiki kwa mshindi wa droo ya nane Bw.Anold Jacob ambae aliibuka mshindi wakati wakuchezesha droo hiyo wiki iliyopita ikiwa nimuendelezo wa Taasisi hiyo kutoa...
Thursday, November 30, 2023
Wednesday, November 29, 2023
Sabasaba Moshingi, kuipeleka DCB kwenye kilele cha mafanikio

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Biashara ya DCB, Bwana Sabasaba Moshingi (katikati), akizunguza mara baada ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Bi. Zawadia Nanyaro (kushoto kwake), kumtambulisha rasmi jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Katibu...
Saturday, November 25, 2023
SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA TAIFA WA KUDHIBITI UKIMWI, MAGONJWA YA NGONO NA HOMA YA INI

Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalim akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mpango wa taifa wa kudhibiti ukimwi, magonjwa ya ngono na homa ya ini uliozinduliwa leo.Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani Nchini Tanzania, Bw. Sagoe Moses akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mpango...
Friday, November 24, 2023
MTEJA WA Y9 MICROFINANCE AJISHINDIA PIKIPIKI KWA MKOPO WA BUKU MBILI

Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Taasisi ya Kifedha Y9 Microfinance Fredrick Mtui (katikati) akizungumza na mshindi wa pikipiki droo ya saba kwa njia ya simu Anorld Jacob na Jekapo ambaye amejishindia simu janja wote ni wakazi wa Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa...
Thursday, November 23, 2023
Airtel, itel washirikiana kuzindua simu janja mpya na ya kisasa aina ya A70

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Airtel Tanzania, Bwana Jackson Mmbando, akizungumza wakati wa uzinduzi wa simu mpya aina ya Itel A70 AWESOME ya kampuni Itel kwa ushirikiano na Airtel katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.Meneja Uhusiano wa Kampuni...
Friday, November 17, 2023
Shirika la USAID laipongeza serikali ya Tanzania mafanikio katika miradi ya elimu na afya nchini
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Bwana Craig Hart (kushoto), akikabidhi mipira kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Njia Panda, Bi. Tatu Mohamedi (kulia), wakati wawakilishi wa USAID, Mfuko wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana...
Thursday, November 16, 2023
ROTARY TANZANIA KUENDESHA KAMBI YA MATIBABU BURE KWA WAKAZI WAA BUNJU.

Rais wa Rotary Club upande wa Oystarbay jijini Dar es Salaam Abdulrahman Hussein (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati wakitangaza fursa ya kutoa huduma ya afya na matibabu bure kwa wakazi wa Bunju ikiwa ni muendelezo wa Rotary kusaidia jamii hasa katika...
WASHINDI WA DROO YA SITA YA Y9 MICROFINANCE WAPATIKANA

Meneja masoko wa taasisi ya kifedha Y9 microfinance Bi. Sophia Mang’enya (katikati) akizungumza na mshindi wa pikipiki droo ya sita kwa njia ya simu Baraka Barazae mkazi wa Dar es Salaam ambaye amejishindia pikipiki na Robert Keraryo mkazi wa Butiama ambaye amejishindia...
Takwimu sahihi nyenzo muhimu mapambano dhidi ya Ukimwi
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la maendeleo ya kimataifa (USAID) Bw. Craig Hart (katikati) akiangalia, wakati mmoja wa wenye VVU akijisajili katika mfumo wa alama za vidole mara baada ya mkurugenzi huyo kukabidhi msaada wa kifaa hicho kwa hospital ya Rufaa ya Mkoa wa...