A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Saturday, September 17, 2022

TCB YAKABIDHI MSAADA KWA JESHI LA POLISI KIBAHA

 Mkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Wenceslaus Fungamtama (wapili kushoto), akikabidhi msaada wa kompyuta na viti vitano vya mbao kwamatumizi ya ofisini kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo kwaajili yakusaidia jeshi la polisi kukabiliana na kudhibiti uhalifu makosa ya kimtandao. Kushoto ni Meneja wa Mawsiliano na Uhusiano wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Gloria Mutta na kulia ni Meneja wa Tawi la TCB Kibaha Juvestina Julius pamoja na maafisa wa jeshi la polisi kutoka kituo kikuu cha polisi kibahaMkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Wenceslaus Fungamtama (kushoto), akikabidhi msaada wa viti vitano vya mbao pamoja na kompyuta kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo kwaajili yakusaidia jeshi la polisi kukabiliana na kudhibiti uhalifu makosa ya kimtandao. Wengine ni ma afisa wa polisi kutoka kituo cha kibahaKamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo akisalimiana na Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Tawi la Kibaha Juvestina Julius wakati wa hafla ya Benki hiyo kukabidhi msaada wa viti vitano vya mbao pamoja na kompyuta kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo kwaajili yakusaidia jeshi la polisi kukabiliana na kudhibiti uhalifu makosa ya kimtandao.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo akizungumza na wanahabari mara baada yakupokea msaada wa kompyuta na viti vitano kutoka Tanzania Tanzania Commercial Bank (TCB)

Picha ya pamojaShare:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive