Afisa wa Tanzania Tanzania Commercial Bank akiendelea kufanya usajili kwa wazee waliokuwa wakiingia kwenye Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam yenye lengo la kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Tanzania Commercil Bank TCB Adolphina William akizungumza wakati wa semina maalum kwa wastaafu iliyoandaliwa na TCB kwa wastaafu wote wa jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndoto zao. , hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Karume uliopo katika viwanja vya sabasaba, wengine pichani ni Maafisa kutoka TCB"
Meneja wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Metropolitan Lilian Mbaya, akitoa huduma kwa mteja wa Benki hiyo ambae pia ni mstaafu wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba
Meneja wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Kariakoo Faraji Basso akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
Meneja wa Tanzania Commercial Bank akizungumza na wazee wastaafu waliohudhuria Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
0 comments:
Post a Comment