
Mkurugenzi wa Hazina wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Wenceslaus Fungamtama (wapili kushoto), akikabidhi msaada wa kompyuta na viti vitano vya mbao kwamatumizi ya ofisini kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani (RPC) Pius Lutumo kwaajili yakusaidia jeshi la polisi kukabiliana...