A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, February 3, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK YAWAFIKIA WAKAZI WA KIGAMBONI WAZINDUA TAWI JIPYA

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa (kushoto), akifungua pazia la jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya  la Benki ya Tanzania Commercial Banki Kigamboni Hafla hiyo imefanyika  leo katika ofisi za tawi hilo kigamboni jijini Dar es Salaam kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi, Tawi la Tanzania Commercial Bank limekuwa ni tawi la kwanza katika Wilaya hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa (watatukulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi  wa tawi la Tanzania Commercial Bank Kigamboni. Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za tawi hilo lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi, kulia ni Meneja wa Tawi la hilo Lameck Bubewa.
Meneja wa Tawi  wa Benki ya Tanzania Commercial Bank Lameck Bubewa akizungumza wakati wa hafla wa uzinduzi wa tawi la benki hiyo lililofunguliwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa ambae ndio alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Nyangasa (katikati),akizungumza wakati wa hafla wa uzinduzi wa tawi la benki ya Tanzania Commercial Bank  lililofunguliwa katika wilaya hiyo  kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank Sabasaba Moshingi, pamoja na Mkurugenzi wa Tehama na Uwendeshaji wa Tanzania Commercial Bank Jema Msuya.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive