

A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.
CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.
TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.
THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.
BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week
Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko (wa pili kushoto mwenye fulana nyeusi) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa (TANESCO) Kituo cha Mpomvu Mkoani Geita Ramadhani Kidunda kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo wakati waziri huyo alipotembelea kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho ya Madini yanayoendelea Geita.
Mhandisi wa (TANESCO) Kituo cha Mpomvu Mkoani Geita Ramadhani Kidunda akitoa maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo katika Mkoa wa Geita kwa Waziri wa Madini Dotto Biteko alipotembelea kwenye Banda la Shirika hilo kwenye Maonyesho ya Madini yanayoendelea katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita.
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa (wa pili kulia) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Uyacode, Agnes Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi hiyo, Michael Mgawe na Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, Zacharia Kapama.
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa (kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Geofrey Ndalahwa wakati wa Uzinduzi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana. Wengine kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Uyacode, Agnes Mangula, Mkurugenzi wa Biashara wa DCB, Zacharia Kapama na Mkurugenzi Mtendaji wa Uyacode, Michael Mgawe.
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa (wa pili kulia), na wengine kutoka kushoto; Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Zacharia Kapama, Mwenyekiti wa Bodi ya Asasi ya Uyacode, Agnes Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Geofrey Ndalahwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Uyacode, Michael Mgawe wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi miradi ya kilimo, ufugaji, viwanda vidogovidogo na na makazi ya wanavicoba wa Uyacode uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana.
Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng'i Issa (kulia) akishikana mikono na Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya DCB, Zacharia Kapama wakti wa uzinduzi rasmi wa miradi ya kilimo, ufugaji, makazi na viwanda vidogovidogo wa wanavicoba wa Asasi isiyo ya kiserikali inayotoa usimamizi na uangalizi wa Vicoba (UYACODE) uliofanyika katika kijiji cha Malivundo, Chalinze mkoani Pwani jana. Wengine kutoka kushoto ni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Uyacode, Agnes Mangula na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa.