A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Saturday, September 19, 2020

DCB washiriki uzinduzi wa Mpango Mkuu wa Maendeleo Sekta ya Fedha

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto) akiwa na mmoja ya washiriki  wakati wa  uzinduzi wa Mpango Mkuu  wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini  uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto) akisalimiana na baadhi ya washiriki wakati wa  uzinduzi wa Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini  uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kuliaakishiriki uzinduzi wa Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini pamoja na washiriki wengine uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma jana.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive