A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Saturday, June 20, 2020

UBUNGO KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KUJENGA SOKO LA KISASA MBEZI.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic akitoa maelezo kwa viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya Hiyo Mhe.Kisare Makori pamoja na Mwenyekiti wa CCM  wa wilaya hiyo Lucas Mgonja na wengine wengi wakati walipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ikiwemo   majengo yanayojengwa soko kwaajili ya wafanya biashara ndogondogo (machinga), ambapo ujenzi huo utakapo kamilika utagharimu kiasi cha shilingi milioni 480 za kitanzania.
Mkuu wa Wilaya Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori (katikati), akizungumza na Viongozi mbalimbali kutoka Chama Tawala cha CCM wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali katika wilaya hiyo.
Mwenyekiti wa CCM  Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akizungumza wakati wa ziara hiyo

Mmoja ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM  Wilaya ya Ubungo akichomea wakati wa ziara ya Kamati ya Siasa wilayani humo kukagua mradi wa ujenzi wa soko la kisasa la wafanya biashara  ambapo ujenzi huo utakapokalimika utagharimu kiasi shilingi milioni 480 za kitanzania 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mradi wa Ujenzi wa Soko la wafanya biashara ndogondogo, Nuru Liyau, ambapo ujenzi huo utakapo kamilika utagharimu kiasi cha shilingi milioni 480 za kitanzania Picha zote na Brian Peter
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive