Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kulia), akizungumza na wanahisa wakati wa Mkutano Mkuu wa 18 wa Wanahisa wa benki hiyo ulifanyika kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kushoto ni; Mwanasheria wa Makampuni,...
Sunday, June 28, 2020
Friday, June 26, 2020
SWISSPORT - NOTICE OF THE ANNUAL GENERAL MEETING

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Swissport Tanzania Yassin Mrisho akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo hiyo unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam mwaka huu
...
Wednesday, June 24, 2020
DCB KUFANYA MKUTANO WA WANAHISA JUNI 27 JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (katikati). akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mkutano mkuu wa 18 wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam Juni 27 mwaka huu. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu...
Saturday, June 20, 2020
UBUNGO KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KUJENGA SOKO LA KISASA MBEZI.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic akitoa maelezo kwa viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya Hiyo Mhe.Kisare Makori pamoja na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo Lucas Mgonja na wengine wengi wakati walipofanya ziara...
Thursday, June 11, 2020
ABSA yasherehekea kuhitimisha kujitenga na BARCLAYS

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Kampuni mama ya Benki ya ABSA Tanzania, Absa Group ya Afrika Kusini, imetangaza kukamilika kwa safari yake muhimu ya kujitenga na Barclays.
Safari hiyo ilianza baada ya uamuzi wa Barclays PLC wa mwaka 2016 wa kuiuzia Absa hisa zake...
Sunday, June 7, 2020
Absa bank Tanzania provides payment holiday to its customers

A three months’ loan repayment holiday,
For Retail Banking, Business Banking, and Corporate and Investment Banking segments,
Will not attract additional administration fees for customers.
As Tanzania and the world confront the financial and economic implications of...
Friday, June 5, 2020
RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI WILAYA YA TEMEKE
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na wakazi wa
mbagala alipofanya ziara yakukagua miradi mbalimbali iliyotelekezwa na
Raisi Magufuli katika Wilaya ya Temeke leo jiji humo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akikagua mitaro...