Wakala wa Mauzo katika Kitengo cha Hazina na Masoko ya Fedha za Kigeni wa Benki ya NBC, Emmanuel Charles Gasirabo akihojiwa na vyombo vya habari wakati wa mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini uliomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mikutano...
Tuesday, February 25, 2020
Wednesday, February 19, 2020
WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO

Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi...
Sunday, February 16, 2020
Absa Tanzania yawahakikishia wateja wake huduma bora zaidi

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dr. Bernard Kibesse (katikati), akiinua glasi ili kuitakia mafanikio bora benki ya Absa Tanzania akiwa pamoja na, kutoka kushoto; Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed, Mkurugenzi Mtendaji wa Kanda wa Absa,...
Tamko la Nabii Suguye kwa Vijana

Nabii Nicolaus Suguye wa Kanisa la WRM lililopo Kivule, Matembele ya Pili, Ukonga jijini Dar es Salaam akiwahubiria waumini wa kanisa hilo (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya kutimiza miaka 13 ya huduma hiyo tangu ianzishwe. (Picha na Phineas Godfrey)
Waumini wa...
DCB FURSA MPYA YA ELIMU KWA WATANZANIA HADI CHUO KIKUU KUPITIA AKAUNTI ZA DCB SKONGA NA DCB MINI SKONGA
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Masoko, Rahma Ngassa (kulia), wakati wa uzinduzi wa DCB Skonga jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Na Mwandishi wetu,
KATIKA...
Friday, February 14, 2020
KAMPUNI YA TOTAL NA COCA COLA YATOA ZAWADI YA VALENTINE DAY KWA WATEJA WAO
Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Kampuni ya Total Tanzania,Marsha Msuya (katikati), akizungumza na wanahabari wakati wa siku ya Kusambaza Upendo katika siku ya wapendanao ambapo kampuni ya Total wakishirikiana na kampuni ya Coca cola wameanda zawadi maalumu...
Tuesday, February 11, 2020
NBC kuendelea kuwainua wanawake na vijana wajasiriamli kiuchumi
Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kulia) akizungumza na baadhi ya washiriki wa warsha ya wanawake na vijana wajasiriamali kuhusu masuala ya uchumi iliyoandaliwa na kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na Benki ya NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mwenyekiti...
Monday, February 10, 2020
NBC yazindua kampeni ya Kijanisha Dodoma kwa kupanda miti 1000
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Azzan Zungu
(aliepiga magoti), akizindua rasmi zoezi la upandaji miti lililopewa jina la
Kijanisha Dodoma na kudhaminiwa na Benki ya NBC katika mtaa wa Swaswa
Halmashauri ya jiji...
BARCLAYS BENKI TANZANIA SASA YAWA RASMI ABSA BENKI TANZANIA
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Dkt Bernard Kibesse (wa pili kushoto), na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya Absa Tanzania, Simon Mponji (kulia), wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Benki ya Absa Tanzania ambayo awali ikiitwa Barclays Benki Tanzania....
Sunday, February 9, 2020
NBC YASAIDIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (wa pili kushoto), akipokea msaada wa vitu mbalimbali kutoka kwa Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Mkoa wa Lindi, Iovin Mapunda vililivyotolewa na benki hiyo kusaidia waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababishwa na mfua kubwa iliyonyesha...