A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Saturday, August 31, 2019

Bibi kizee arudishiwa ardhi iliyochukuliwa na mwenye pesa Korogwe Tanga

Bibi kizee na Mkazi wa Korogwe, Bi. Amina Kirua, akilima katika shamba lake alilonyang’wa na jirani yake Tajiri, lakini baadae alirudishiwa baada ya kusaidiwa na wasaidizi wa kisheria Wilayani Korogwe. Msaada huo ni sehemu ya mradi mkubwa na nchi nzima wa kuwawezesha watanzania...
Share:

Tuesday, August 27, 2019

Facebook Celebrates 'Icons of Change' from across Sub-Saharan Africa with a Youth Gathering in Accra, Ghana

Facebook’s Communications Manager Francophone Africa, Olivia Nloga moderates a panel discussion at the Facebook Icons of Change Youth Event held in Accra Ghana. The panel featured four youths from across Africa who shared testimonies of how they are driving impact in their...
Share:

Monday, August 26, 2019

Tanga Cement yazidi kujimarisha Sekta ya Viwanda vya Saruji Tanzania

Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement, Lau Masha (wa nne lushoto), alizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Reinhardt Swart na baadhi ya wajumbe...
Share:

Wednesday, August 21, 2019

Wateja wa kampuni ya nishati ya jua ya Mobisol wazidi kuongezeka

Meneja Mauzo wa Mobisol Kanda ya Pwani,  Wesley Muyenze (kulia), akizungumza na waandishi wa habari juu ya mafaniko na mikakati ya kampuni hiyo jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Maafisa wa Kampuni ya Mobisol (kulia), wakitoa huduma kwa wateja wao  walipokwenda...
Share:

Wednesday, August 14, 2019

Facebook, together with Africa Check, expands its local language coverage as part of its Third-Party Fact-Checking Programme

Facebook, today with Africa Check announced that it has added new local language support for several African languages as part of its Third-Party Fact-Checking programme - which helps to assess the accuracy of news on Facebook, and aims to reduce the spread of misinformation. Launched...
Share:

Absa Group Reports 3% Increase in Earnings, Bolstered by Improved SA Retail and Business Banking Unit Performance

Absa Group Limited, one of Africa’s largest financial services providers and parent company of Barclays Tanzania reported a 3% increase in earnings for the first half of 2019 as its retail unit in South Africa gained market share, mitigating the negative effects...
Share:

Tuesday, August 13, 2019

NBC yazidi kuboresha mtandao wa mawakala wake

Na Mwandishi Wetu, BENKI ya NBC imewahakikishia wateja na wananchi kwa ujumla kuwa mtandao wa mawakala wake unazidi kuongezeka sehemu mbalimbali nchini kote huku wakizidi kuboresha huduma za NBC Wakala ili kuhakikisha wateja wanapata huduma bora na zinazokidhi mahitaji yao. Akizungumza...
Share:

FAINALI ZA PROPHET SUGUYE CUP ZAFANA

Na Mwandishi Wetu, Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la Prophet Suguye Cup ambayo yalikuwa yanatimua vumbi katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu iliyopo Kivule, Ukonga, Dar es Salaam na kudhaminiwa na Muasisi wa Mashindano hayo Nabii Nicolaus Suguye wa Kanisa...
Share:

Monday, August 12, 2019

RAIS WA AFRIKA KUSINI KUTUA NCHINI JUMATANO NA KUPOKELEWA NA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuwasili Nchini Jumatano ya August 14 kwa Mwaliko wa Ziara ya kitaifa (State Visit) ya siku mbili ambapo atapokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli. Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Share:

Thursday, August 8, 2019

DCB KUSHIRIKIANA NA MANISPAA KUTEKELEZA MIRADI YA KIMKAKATI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto), akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya  DCB, Godfrey Ndalahwa kwa kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Shirikisho la Serikali za Mitaa (ALAT), uliofanyika mjini...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive