
Kampuni ya Uber imewekeza katika teknolojia ambayo imeiwezesha kuweka mkazo mkubwa kwenye usalama wa wasafiri na madereva kuanzia mwanzoni mwa safari hadi mwisho: kabla ya msafiri kuabiri gari, wakati wote wa safari na baada ya kufika mahali anakoenda. Kuanzia pale dereva...