Naibu Waziri Mkuu, Dk. Doto Biteko akikabidhi cheti cha shukurani kwa Meneja Rasilimali Watu wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport, Bi. Evalyn Hall (kulia), kutambua mchango wa kampuni hiyo kama mdhamini mkuu wa mbio za Rombo Marathon 2023 zilizotimua vumbi lake mjini Rombo mkoani...
Wednesday, December 27, 2023
Thursday, December 21, 2023
Filamu za kibongo zote kali kuonekana kupitia Airtel TV

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Dk. Kiagho Kilonzo (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati Kampuni ya Airtel Tanzania ikitambulisha filamu za kitanzania zaidi ya 100 ambazo wapenzi wa filamu wanaweza kuziangalia kupitia Airtel...
Friday, December 8, 2023
Waziri Nape azipongeza Airtel, Jubilee Insurance na Axieva kuanzisha Afya Bima
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu huduma mpya ya Afya Bima inayotolewa na Airtel Money kwa ushirikiano na makampuni ya Jubilee Insurance na Axieva. Waziri Nape...
Wednesday, December 6, 2023
Benki ya Absa Tanzania yazindua mfumo wa malipo ya kadi za benki kupitia simu za mkononi
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere (wa nne kutoka kushoto, mstari wa mbele), Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki hiyo, Bwana Aron Luhanga (kushoto kwake), wakipozi kwa picha mbele ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi...