
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba akizungumza na waratibu wa UKIMWI wa Wizara,Mikoa na Halmashauri wakati wa kikao cha usambazaji wa taarifa ya mapitio ya fedha za UKIMWI kwenye sekta za umma na sekta binafsi ya mwaka 2022. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa fedha na Utawala...