Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya CCBRT Brenda Msangi akipokea kifaa tiba - mashine ya Ultrasound kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin katika hafka iliyofanyika leo Hospitalini hapo Jijini Dar es Salaam Muonekano wa kifaa...
Thursday, October 13, 2022
Monday, October 10, 2022
Benki ya Absa kutoa huduma bora zaidi zinazokidhi mahitaji ya wateja

Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Melvin Saprapasen (wa tano kushoto), Meneja wa Absa Tawi la Ohio, Ally Janja (kushoto kwake), wafanyakazi wa Absa pamoja na Wateja wakigonganisha glasi kutakiana afya njema na mafanikio katika moja ya matukio kuadhimisha...
Sunday, October 9, 2022
Benki ya DCB yang'ara ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Bi. Zawadia Nanyaro (katikati) akikata keki huku wafanyakazi na wateja wa Benki ya tawi la Victoria wakishangilia, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, tawini hapo, Dar es Salaam wiki hii. Kulia kwake ni Mkurugenzi...
TANZANIA COMMERCIAL BANK YAJIVUNIA KUSHEREHEKEA HUDUMA BORA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank TCB Sabasaba Moshingi akimlisha keki Mteja wa Benki hiyo Bi Janemary Rutahoile ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja inayoendelea katika Tawi la Tanzania Commecial Bank lililopo Mlimani City jijini Dar...
TANZANIA COMMERCIAL BANK YAPIGA JEKI WAKULIMA WA ZAO LA MWANI UNGUJA
.jpeg)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank TCB Sabasaba Moshingi (kushoto), akikabidhi msaada wa kisima cha maji kwa Mbunge wa Jimbo la Paje Unguja Mh Sudi Hassan kwa niaba ya wamama wa Jimbo hilo wanaojishughulisha na Kilimo...
Thursday, October 6, 2022
Benki ya Absa yakabidhi msaada wa vifaa vya usafi Hospitali ya KCMC ikiadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga (wa nne kulia) akikabidhi vifaa vya kuhifadhia takataka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, Prof. Gileard Masenga, vilivyotolewa na benki hiyo ikiwa...