
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Mhe. Moses Machali (wapili kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Tanzania Commercial Bank lililozinduliwa katika Wilaya hiyo hivi karibuni ikiwa ni muendelezo wa benki hiyo kuhakikisha inawafikia wateja wake kila kona ya nchi....