Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis(wan ne kushoto) akikabidhi baadhi ya vitabu kwa Mkuu wa shule ya sekondari ya watoto yatima ya Bethsaida iliyoko Mpiji Magoe jijini Dar es Salaam, Hollness Moshi (kushoto) ikiwa ni sehemu...
Thursday, June 30, 2022
Wednesday, June 29, 2022
MAAJABU YA BIDHAA ZA LG SMART HOME , UOKOA NISHATI NA MUDA
Na Mwandishi Wetu• Faida kuu za vifaa Vya Nyumbani vya LG ni pamoja na kutoa urahisi na uharaka wa kutumia vifaa kama TV na friji, utendakazi ulioboreshwa kupitia teknolojia ya Upelelezi wa Artificial Intelligence (AI) kwa washer na kuokoa nishati kwa viyoyozi.• Teknolojia...
Friday, June 17, 2022
TANZANIA COMMERCIAL BANKI YATANGAZA KUPATA FAIDA YA BILIONI 19.7
Mwenyekiti wabodiya Tanzania Commercial Bank Dkt. Edmund Mndolwa (katikati), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kupata faida ya shilingi Bilioni 19.7 kwa mwaka ulioishia Desemba 31 2021 hatua inayo tajwa kuwa yamafanikio na kuimarika kwa benki hiyo ambayo ni muunganiko...
BENKI YA ABSA TANZANIA YAJA NA MIKAKATI KUWANUFAISHA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI KIUCHUMI
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Kennedy Nyoni (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Abdi Mohamed (Kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Absa, Mervin Saprapasen na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Ushiriki wa Watanzania...
Thursday, June 16, 2022
SERIKALI YATOA VITAMBULISHO VYA BIMA YA AFYA KWA WAZEE 937,266 NCHINI
Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Doroth Gwajima, akizungumza leo Juni 15/2022 wakati wa maadhimisho ya kupinga ukatili kwa wazee yaliyofanyika kitaifa katika Kijiji cha Kisharita Wilaya ya Iramba mkoani Singida.Naibu Waziri wa Maendeleo ya...
LAUNCH AFRICA DISRUPTS THE MARKET TO BECOME PAN-AFRICA’S MOST ACTIVE EARLY-STAGE VC FUND
From left to right: Co-founder Janade du Plessis (in white sneakers); Margaret O’Connor(Chairperson of the Launch Africa Board) and co-founder Zach George.Launched in July 2020, Launch Africa Ventures(‘Launch Africa”) has disrupted the market...
SEKONDARI BUNDA YAITAKA DIT KUHAMASISHA MASOMO YA SAYANSI

Na Mwandishi Wetu, MaraMKUU wa shule ya Sekondari Bunda iliyopo Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Charles Somba, ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kuwa na muendelezo wa programu ya uhamasishaji kuhusu mtoto wa kike kupenda masomo ya Sayansi.Somba ameyasema...
Sunday, June 12, 2022
BENKI YA NBC YAPONGEZWA KWA HUDUMA BORA ZANZIBAR
.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mh. Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC, Theobald Sabi (kushoto) walipokutana Zanzibar. Pamoja na mambo mengi, Mh....