Monday, February 28, 2022
WIZARA YA NISHATI YAPATA NEEMA KUPITIA DUBAI EXPO
Friday, February 25, 2022
TANZANIA COMMERCIL BANK YATOA MSAADA KWA JESHI LA POLISI USALAMA BARABARANI
Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akishikana mikono na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa, wakati wa hafla yakukabidhi msaada wa vifaa vya kuongezea usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupunzikia askari wa kitengo hicho makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. wengine pichani ni Meneja wa Tanzania Commercial Bank Tawi la Ubungo Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni Notkey Kilewa,akizungumza mara baada ya kupokea mdaa wa vifaa vyakuongezea usalama barabarani kutoka Tanzania Commercial Bank. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na ukuzaji biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki ubungo Amina Saidi.
Wednesday, February 23, 2022
KILIMANJARO RC HAILS ABSA BANK OVER TREES DONATION
Tuesday, February 22, 2022
Meta launches Reels on Facebook and New Ways for Creators to Make Money across SSA
Commenting on the launch Nunu Ntshingila, Regional Director for sub-Saharan Africa at Meta says, “We’ve seen that video now accounts for almost all of the time people spend on Facebook and Instagram, and Reels is our fastest growing content format by far. This is why we’re focused on making Reels the best way for creators to get discovered, connect with their audience and earn money. We also want to make it fun and easy for people to find and share relevant and entertaining content.”
Meta is also creating a variety of opportunities for creators to earn money for their reels. The Reels Play bonus program, part of Meta’s $1 billion creator investment, pays eligible creators up to $35,000 a month based on the views of their qualifying reels. In the coming months, the bonus program will be extended to more countries, so more creators can get rewarded for creating reels that their communities love.
As part of the launch Meta is also launching brand suitability controls, including Publisher Lists, Blocklists, Inventory Filters and Delivery Reports for Banner and Sticker Ads in Facebook Reels in every region they are available, giving advertisers more control over how their ads appear in places they don't consider suitable for their brand or campaign. Additionally, Meta has been testing full-screen and immersive ads in between Facebook Reels since October of last year, and will roll them out to more places around the world over the coming months. Just like with organic content on Facebook, people can comment, like, view, save, share and skip them.
More Editing Features
In addition to the features announced last year, creators around the world will be able to access:
- Remix: Create your own reel alongside an existing, publicly-shared reel on Facebook. When you create a Remix, you can create a reel that includes all or part of another creator’s reel.
- 60-second Reels: Make reels up to 60 seconds long.
- Drafts: You will soon be able to create a reel and choose to “Save As Draft” below the Save button.
- Video Clipping: In the coming months, we’re planning to roll out video clipping tools that will make it easier for creators who publish live or long-form, recorded videos to test different formats.
Create and Discover Reels in New Places
Over the coming weeks, the following updates will be rolled out to make it easier to create and discover reels in new places:
- Reels in Stories: You can share public reels to Stories on Facebook, making it easy to share favourite reels with friends and giving creators more visibility and reach. You’ll also be able to create reels from existing public stories.
- Reels in Watch: You’ll be able to watch reels directly within the Watch tab and we’re developing tools to help you create reels in the Watch tab as well.
- Top of Feed: We’re adding a new Reels label at the top of Feed so you’ll be able to easily create and watch reels in just a few clicks.
- Suggested Reels in Feed: In select countries, we’re starting to suggest reels that you may like in your Feed from people you do not already follow.
Meta is also exploring ways to make it easier for creators to share Reels to both their Facebook and Instagram audiences, such as cross posting.
You can find Facebook Reels in Feed, Groups and Watch. When viewing a reel, you can follow the creator directly from the video, like and comment on it or share it with friends.
Thursday, February 17, 2022
TANZANIA COMMERCIAL BANK YAWAFIKIA WAKAZI WA MBINGA YAZINDUA TAWI JIPYA LA KISASA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brig. Jenerali Wilbert Ibuge (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi jipya la Tanzania Commercial Bank lililofunguliwa katika barabara ya mkibili mjini Mbinga mkoani Ruvuma ikiwa ni tawi la tatu la benki hiyo katika mkoa huo kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Sabasaba Moshingi pamoja na Meneja wa Tawi la Tanzania Commercial bank mbinga Egno Ngole .
Tanzania Commercial Bank (TCB) imeendelea kuongeza jitihada kuwafikia Watanzania katika kila kona ya nchi kwa madhumuni ya kujenga jamii yenye uchumi wa kati, na kuunga mkono juhudi na malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha kila Mtanzania anafikiwa na huduma za kibenki.
Benki hiyo iimetimiza azma hiyo kupitia huduma zake mbalimbali katika kuigusa jamii kwa kufungua tawi Mji wa Mbinga, Mkoani Ruvuma katika hafla fupi iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali.
Tawi hilo la Mbinga linakuwa tawi la tatu kuzinduliwa mwaka huu na kuifanya benki hiyo sasas kuwa na mtandano wenye jumla ya matawi 82 Tanzania Bara na Visiwani ili kuleta manufaa kwa wajasiriamali na wananchi wa mkoa huo.
Pamoja na kusogeza huduma za kibenki kwa wananchi, Tanzania Commercial Bank pia inategemewa kufungua na kuendeleza fursa mbalimbali za kibiashara kwa lengo la kuinua uchumi katika mkoa huo.
Akiongea katika hafla ya uzinduzi wa Tawi hilo Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bnk, Sabasaba Moshingi, alisema wateja wa benki hiyo wapo katika mikono salama na kuwaomba wananchi waitumie benki hiyo kwani imekuwa ikifanya mambo mengi yanayolenga jamii.
Moshingi alisema kuwa uzinduzi wa tawi la Tanzania Commercial Bank wilayani Mbinga ni moja ya mikakati ya benki hiyo ya kupanua na kusogeza huduma za kibenki karibu zaidi kwa wananchi hasa katika maeneo yanayokua kwa kasi na ambayo yenye maendeleo ya kiuchumi.
“TCB inaamini kufungua matawi katika maeneo yenye muwamko wa kiuchumi utakaoongeza ukuwaji wa shughuli za kifedha kwa wananchi na kuinua kipato cha wajasiriamali, “ alisema Moshingi.“ Mchakato wa Tanzania Commercial Bank unaenda sambamba na malengo ya serikali yetu ya kusogeza huduma bora kwa wananchi wote”
Tawi la Mbinga ni mwendelezo wa ufunguzi wa matawi ya benki hiyo mwaka 2002, tulianza na uzinduzi wa matawi ya Kigamboni, Dar es Salaam na Mpanda, likiwa ni mkakati wa Tanzania Commercial Bank wa kuchangamkia fursa ya kukua kwa shughuli za kibiashara na za kiuchumi wilayani humo.
Akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa tawi la Mbinga, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brig. Jenerali Wilbert Ibuge ,aliipongeza Tanzania Commercial Bank kwa kuona fursa kubwa wilayani humo zinazotokana na shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa na wananchi wa mkoa wa Ruvuma.
Aliwaomba wananchi wa mkoa huo kuchangamkia fursa zinazotolewa na Tanzania Commercial Bank kwa kufungua akaunti nakujipatia mikopo kwa mashari nafuu. “ Benki hii ni yakwetu tuitumie kwa faida maana imekuwa benki ya kwanza kujali wananchi wa Ruvuma, hili ni tawi la tatu katika mkoa wetu kufunguliwa na benki hii,” alisema Brig. Jenerali Ibuge.
Tanzania Commercial Bank Plc ni taasisi ya fedha iliyoundwa kisheria kutoka iliyokuwa Benki ya Posta Tanzania (Tanzania Postal Bank), ikitoa bidhaa na huduma ili kukidhi mahitaji ya benki ya kibinafsi na ya kibiashara ya wateja.