A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Sunday, October 31, 2021

Absa Group Appoints Saviour Chibiya as Group Executive: Absa Regional Operations

 Absa Group today announced the appointment of Saviour Chibiya as Group Executive: Absa Regional Operations (ARO). Saviour will be responsible, together with RBB and CIB for the Group’s ARO businesses and for the Group’s strategy, collaboration and relationships with its...
Share:

Friday, October 29, 2021

ASASI ZA KIRAIA NI CHACHU KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU - WAZIRI GWAJIMA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto,Dkt Doroth Gwajima akizungumza na wadau wa Asasi za kiraia alipohudhuria sherehe ya utoaji wa tuzo mbalimbali kwa wadau wa Asasi za kiraia (KIRAIA) Jijini Dodoma.Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Idara Kuu ya Maendeleo ya...
Share:

Thursday, October 28, 2021

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGA RASMI WIKI YA ASASI ZA KIRAIA JIJINI DODOMA

  Na: Hughes Dugilo, DODOMA | Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Ummy Mwalimu ameshiriki hafra ya kuhitimisha Wiki ya Asasi za Kiraia (AZAKI) Jijini Dodoma.Katika hotuba yake mbele ya Wadau wa Serikali na Mashirika ya Asasi za Kiraia nchini ameahidi kutoa ushirikiano...
Share:

Wednesday, October 27, 2021

ANNE MAKINDA: ASASI ZA KIRAIA ZIHAMASISHE WANANCHI KUSHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

 Kamisaa wa Sensa Spika wa Bunge mstaafu Anne Makinda akizungumza Akizungumza katika mkutano wa wadau wa Asasi za Kiraia kwenye Wiki ya AZAKI kuhamasisha wadau hao kuwafikia wananchi kuwapa elimu ya Sensa.Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society (FCS) Francis...
Share:

BENKI YA ABSA KUENDELEZA USHIRIKA NA MAKAMPUNI YANAYOIBUKA YENYE UBUNIFU

 Mkuu wa Huduma kwa Wateja na Digitali wa Benki ya Absa, Samuel Mkuyu (wa pili kulia), akichangia mada wakati wa warsha kuhusu uboreshaji wa huduma kwa wateja kwa kutumia njia za ubunifu wa kidigitali iliyoandaliwana kampuni ya teknolojia ya Hindsight Ventures kwa kushirikiana...
Share:

Tuesday, October 26, 2021

ABSA COMMITS TO PARTNER WITH INNOVATIVE START-UPS

 Absa Bank Tanzania Head of Customer Experience and Digital Banking, Samuel Mkuyu (second right), makes a presentation on enhanced customer experience with digital innovation during a one-day forum organised by Hindsight Ventures in partnership with Absa Bank in Dar es...
Share:

Monday, October 25, 2021

ASASI ZA KIRAIA ZAJADILI MCHANGO WAO KATIKA MAENDEO YA NCHI DODOMA

 Mkurugenzi wa FCS Francis Kiwanga akichangia mada kuhusu Mchango wa AZAKI katika kuleta Maendeleo ya nchi wakati wa mkutano huo ulifanyika leo Jijini Dodoma.Mkurugenzi wa Shirika la WiLDAF na Mwenyekiti wa TANGO Anna Kulaya (kushoto) akiongoza mada kwenye mkutano huo uliohudhuriwa...
Share:

Saturday, October 23, 2021

UFUNGUZI WIKI YA AZAKI 2021 YAFANA JIJINI DODOMA

  Washiriki wa Matembezi ya Wiki ya AZAKI wakiwa wameshika mabango yenye jumbe mbalimbali zinazohusu Asasi za Kiraia ikiwa ni siku ya kwanza ya Wiki ya Asasi za Kiraia iliyozinduliwa leo Jijini Dodoma. (PICHA NA HUGHES DUGILO)Askari wa Kikosi cha JKT Makutupora wakiongoza...
Share:

Benki ya Absa Tanzania yatwaa tuzo ya Taasisi Bora ya Fedha katika Matumizi ya Tehama

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Zainabu Chaula (kushoto) akikabidhi tuzo ya Taasisi bora ya Fedha kwenye matumizi ya Tehama kwa Ofisa Mkuu Mwendeshaji wa Benki ya Absa Tanzania, Oscar Mwamfwagasi (katikati) pamoja na Ofisa Mkuu wa...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive