
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya Absa Tanzania, Melvin Saprapasen (kushoto), akimkabidhi vitanda na magodoro Mkurugenzi wa shule ya sekondari ya At – Taaun, Ali Betit kama sehemu ya majukumu ya benki kutoa kwa jamii kufuatia na uhitaji wa shule hiyo baada ya ajali...