
Mbunge Neema Lugangira (kushoto) akipiga makofi mara baada ya kufanyika uzinduzi rasmi wa wiki ya Azaki uliofanyika Jijini dar es Salaa, (wa kwanza kulia) ni Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo Msajili wa Asasi za Kiraia nchini, Vickness Mayao (katikati yake) ni Rais...