Na Mwandishi wetu
Uchaguzi kura za maoni ndani ya ccm umeendelea kushika kasi ambapo leo umeendelea kwa hatua kwa wanaoomba nafasi za udiwani.
Wilayani ilala katika kata ya buyuni bwana Karim Madenge ameongoza kwakupata kura 57 kati ya kura 160...
Saturday, July 25, 2020
Thursday, July 23, 2020
Zantel yazindua huduma ya Halikati, wateja kuweza kuvusha dakika na Mbs zilizosalia kwenda kifurushi kipya
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ijulikanayo kama ‘Bando Halikati’ inayompa mteja uwezo wa kuvusha dakika na MBs za intaneti kutoka kifurushi cha awali kwenda kifurushi kipya.Huduma...
Monday, July 20, 2020
ABSA Tanzania MD Speaks on the Banks Key Highlights

Following the successful launch of the
Absa brand in Tanzania, our editor had the opportunity to catch up with Absa
Tanzania Managing Director Abdi Mohamed. In a wide ranging exclusive interview
he was able to share the key highlights of the journey to Absa and the
turnaround...
Friday, July 17, 2020
I&M BANK TANZANIA INAUGURATES ITS MAIN BRANCH AS IT LAUNCHES A SPECIAL ‘I&M TUNAWEZA WOMEN'S ACCOUNT’

I&M Bank's Board Member, Ambassador Bertha Semu-Somi, speaks during the launch of the bank’s newly-introduced Tunaweza Women's Account during the bank’s main branch inauguration.
Bank of Tanzania (BOT) Deputy Governor, Dr. Bernard Kibesse speaks during the launch of...
Thursday, July 16, 2020
NMB BANK PLC WINS EUROMONEY AWARD FOR EXCELLENCE 2020 - TANZANIA’S BEST BANK

NMB Bank Board Chairman, Dr. Edwin P. Mhede (centre), receiving the Best Bank Award from the NMB Bank Acting Managing Director, Ruth Zaipuna (left). Looking on is the NMB Bank Chief of Retail Banking, Filbert Mponzi (right).
NMB Bank Board Chairman, Dr. Edwin P. Mhede...
NBC kuendelea kuwainua wajasiriamali
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akionyesha tuzo ya udhamini mkuu wa maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali, katika hafla ya ufungaji...
Wednesday, July 15, 2020
MJASILIAMALI ELIZABETH JACKSON AINGIA KWENYE MTANANGE WA KUSAKA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO
Katibu wa CCM Wilaya ya Ubungo Chifu Sylvester Yaredi, leo jumatano julai 15 akikabidhi fomu ya ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi kwa Elizabeth Jackson.
BINTI MDOGO NA MJASILIAMALI 'Elizabeth Jackson'...
Tuesday, July 14, 2020
Bi Jessica Motto apania kuitumikia kata ya Buyuni achukua fomu
Katibu Kata wa Chama cha Mapinduzi CCM kata ya Buyuni Chanika, Juma Mnambiya akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani kata ya buyuni kwa bi Jessica Motto, wakati wa siku maalum zilizotangazwa na mamlaka husika kuchukua fomu kwaajili yakugombea...
Tuesday, July 7, 2020
NBC YADHAMINI MAONESHO SABASABA KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia), akiangalia baadhi ya vifaa vinavyotengenezwa na Kampuni ya Uzalishaji wa fenicha na Uuzaji wa mashine ya Azienda Group Limited, katika banda la wajasiriamali wadogo na wa kati lililodhaminiwa na benki ya NBC wakati wa ufunguzi wa...
MWENYEKITI WA BONYOKWA MALIYATABU ATANGAZA NEEMA

Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bonyokwa Malyatabu akizungumza wakati wa hafla ya uzin duzi wa WOMEN TAP yenyelengo la kuinua wanawake kiuchumi na uongozi bora.
Muhasisi wa WOMEN TAP ambae pia ni Rais wa Vicoba Tanzania Bi.Devotha Likokola akizungumza...