
Kampeni ya Matibabu ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto 10 kutoka familia duni kila mwezi kwa Muda wa Miezi 6 iliyoanzisha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda imeendelea kuleta matokeo chanya na kuokoa Maisha ya Watoto ambapo leo September 30 Kampuni ya Mafuta...