Mganga Mkuu wa Serikali-Wazara ya Afya, Prof. Mohammad Bakari Kambi, akiongea katika uzinduzi wa miradi mikubwa miwili (PAVIA na PROFORMA), inayolenga kuweka mifumo ya kuthibiti ubora na viwango vya madawa yanasambazwa na kutumiwa katika masoko ya Tanzania na nchi zingine...
Monday, April 30, 2018
Saturday, April 28, 2018
A MOBILE PHONE DEALER LAUCHES A MORDEN NEW BRAND SMARTPHONE HANDSETS INTO TANZANIA MARKET.
Dar es Salaam 28thApril 2018: Infinix the premier leading Mobile company which has been doing well all over Africa has finally engage in Tanzania market by officially announcing the Brand opening at Mlimani City and the launch of one of its newest retail store today....
Wednesday, April 25, 2018
TIGO AND TECNO TEAM UP TO PROVIDE THE BEST DIGITAL EXPERIENCE TO CUSTOMERS
TECNO Tanzania's Public Relations Manager, Eric Mkomoya (right) shows the new TECNO Camon X smartphone at the official launch of the 4G smartphone at the Tigo Tanzania offices in Dar es Salaam. The new TECNO Camon X smartphone is available for purchase at all Tigo shops countrywide...
Monday, April 23, 2018
Benki ya Barclays Tanzania yasaidia kambi ya upasuaji wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi na kutoa kadi za bima ya afya (NHIF) 200 kwa watoto hao.
Mkuu wa Kitengo cha Ukusanyaji Mikopo Isiyolipwa wa Benki ya Barclays Tanzania, Khatibu Mohammedy (wa tatu kushoto,) akikabidhi vifaa vya kusaidia upasuaji wa watoto wenye tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tiba wa Taasisi ya Mifupa Muhimbili...
Saturday, April 21, 2018
Uber in Tanzania partners with Idris Sultan as Uber Brand Ambassador for 2018

Uber today officially announced Idris Sultan, as its new Uber brand ambassador in Tanzania for 2018, making Idris the first Tanzanian artiste to be the face of Uber the most popular ride-hailing application in Tanzania.
The comedian, actor and radio host was unveiled...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu akutana na uongozi wa juu wa NBC jijini Dar
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), wakati alipotembelea ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Wateja BInafsi wa nbc, Filbert...
Thursday, April 19, 2018
Airtel Tanzania yaongoza katika mitandao ya kijamii
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania, Bwn Isack Nchunda akiongea baada ya Airtel kuibuka kinara katika kutoa hudumia kupitia mitandao ya kijamii, akishuhudia Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania, Bi Singano Mallya
Airtel Tanzania imetajwa kuwa moja ya makampuni bora...
Wednesday, April 18, 2018
VIONGOZI WA DINI YA KIISLAM WAMPONGEZA ASKOFU WA ANGLIKANA

Viongozi wa dini ya kiislam Sheik Hemed Mwakindenge ambaye ni
kiongozi wa chuo cha Dini cha Hawza Imam Swadiq (A.S) kilichopo Kigogo
Post Dar Es Salaam akiwa na Naibu wake Sheik Mohammed Abd, wamemtembelea Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi...
NBC YAWASHUKURU WAFANYAKAZI WAKE KWA KUKAMILISHA ZOEZI LA UUZAJI WA HISA ZA VODACOM KWA MAFANIKIO
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (wa nne kushoto), akipiga picha na baadhi ya mameneja wa matawi ya NBC katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo kuwapongeza na kutambua mchango wa wafanyakazi na matawi yake yaliyfanya vizuri katika kufanikisha uuzwaji wa hisa za...