A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Monday, December 1, 2025

BENKI YA ABSA YASHINDA TUZO YA ‘BENKI INAYOPENDEKEZWA NA KUFIKIWA ZAIDI MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA’

 

Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Irene Mwilongo (katikati), pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake, wakionesha tuzo ya ‘Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika’ mara baada ya kukabidhiwa, katika hafla ya utoaji wa tuzo za Chaguo la Walaji Afrika 2025, jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi wa Benki ya Absa Tanzania Bi. Irene Mwilongo (wa tatu kulia), akipokea tuzo ya ‘Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika' kutoka kwa Mwakilishi kutoka waandaaji wa tuzo hizo, Bi. Balqis Njuki, katika hafla ya kila mwaka ya utoaji wa Tuzo za Chaguo la Walaji Afrika 2025, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Mkuu wa Uchambuzi wa Utendaji wa Biashara wa Benki ya Absa Tanzani, Bw. Stivia Augustino (wa tatu kulia), akionesha tuzo ya ‘Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika’, katika hafla ya kila mwaka ya utoaji wa Tuzo za Chaguo la Walaji Africa 2025, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Mkuu wa Mikakati na Data wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. John Mosha (wa nne kulia), akizungumza baada ya kupokea tuzo ya ‘Benki Inayopendekezwa na Kufikiwa zaidi Mashariki na Kusini mwa Afrika’, katika hafla ya kila mwaka ya utoaji wa Tuzo za Chaguo la Walaji Africa 2025, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive