Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Ndabu Lilian Swere (kushoto), akihutubia hadhira wakati wa droo ya tatu ya Kampeni ya "Spend and Win" na hafla ya kukabidhi Subaru Forester kwa mshindi wa pili, Bi. Alyshah Bharwani (wa tatu kushoto), katika...
Wednesday, December 18, 2024
Saturday, December 14, 2024
Benki ya Absa Tanzania Yashinda Tuzo 11 za Heshima Mwaka 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akizungumza na waandishi wakati akitangaza mafanikio ya benki kwa Mwaka 2024 kupitia Tuzo mbalimbali 11 ilizopata. Pamoja naye ni Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa benki hiyo, Bw. Aron Luhanga.• Kutambuliwa...
Monday, December 2, 2024
Benki ya Absa Tanzania yang'ara tuzo za Chaguo la Walaji

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya Benki Bora kwa kutoa Huduma Bora rafiki za Mikopo nchini Tanzania kwa Mkurugenzi wa Sheria na Udhibiti wa Sera na Kanuni wa Benki ya Absa Tanzania,...