
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Uchumi Zanzibar, Mheshimiea Dkt Saada Mkuya akipokea zawadi iliyotolewa na Kampuni ya Bima ya First United Takaful Kwa Gavana wa kutoka kaunti ya Kenya Issa Timamy kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan...