Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati alipotembelea tawi la Benki ya Biashara ya DCB jijini Dodoma leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma...
Thursday, February 28, 2019
Wednesday, February 27, 2019
NBC KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA JESHI LA MAGEREZA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, (kushoto),
akiagana na Mkuu wa jeshi la Magereza nchini, Phaustine Kasike, alipotembelea ofisini kwake Makao Makuu ya jeshi hilo jijini Dar es Salaam hivi karibuni
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, ...
VIJANA WA KITANZANIA KUPATA FURSA YA KIPEKEE
Vijana wa Kitanzania kupata fursa ya kipekee!
Shindano la ujasiriamali la Tujenge TZ Innovation Challenge
linapokea michanganuo kutoka kwa wajasiriamali vijana hadi tarehe 13
mwezi wa tatu mwaka huu.
Vijana kupewa fursa ya kupata mafunzo, wawekezaji na mengine mengi kwa ajili ya kukuza biashara zao.
Tembelea www.tujengetzcha...
Monday, February 18, 2019
Uber yazindua bima ya Ulinzi dhidi ya Majeraha kwa madereva na abiria nchini Tanzania bila gharama yoyote ya ziada

Madereva na abiria wa Uber nchini Tanzania watakuwa na amani zaidi wakitumia Uber, kwa kuwa Uber imetangaza kuzindua bima ya Ulinzi dhidi ya Majeraha, inayotolewa na UAP Old Mutual. Tangazo hili ni sehemu ya ahadi kuu ya Uber katika eneo la Mashariki ya Kati na Afrika (MEA)...
Friday, February 15, 2019
BENKI YA NBC YACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI RUANGWA MKOANI LINDI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shs 11,270,000 kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, kwa ajili ya kununulia mifuko 1000 ya saruji kama mchango wa NBC kuchangia ujenzi wa kituo cha polisi cha Wilaya...
Wednesday, February 6, 2019
At last, the boys secured their inheritance rights
Perepetua Buzima (left) discussing (about boundaries of the plot) with a woman who bought a house which was at the centre of inheritance conflict which involved two boys and their step-father. Finally, the case was peacefully resolved by Mbogwe district paralegals and all...
Monday, February 4, 2019
Wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB washerehekea kumaliza salama zoezi la uuzaji hisa
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB, Godfrey Ndalahwa (wa tatu kulia), akigonisha glasi na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo kushereheka kumaliza salama msimu wa uuzaji wa hisa za benki hiyo uliyoanza Novemba 12 mwaka jana na kuhitimishwa Januari 31 mwaka huu....