A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Wednesday, October 31, 2018

The government intends to roll out specialized and extensive training

Participants to the training of trainers workshop following proceedings of the programme, which was organized by the Law School of Tanzania (LST) in collaboration with Tanganyika Law Society (TLS) and sponsored by the Legal Services Facility (LSF). The training as part of...
Share:

Wednesday, October 24, 2018

NBC yapongezwa kwa kudhamini maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji mjini Mbeya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (wa pili kushoto) akikabidhi cheti cha shukrani kwa  Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo kutokana na udhamini wa benki hiyo katika maonyesho ya mifuko ya uwezeshaji, programu na vikundi vya kifedha yaliyoandaliwa...
Share:

Monday, October 15, 2018

MKUTANO WA NBC NA WATEJA WAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA MKOANI SINGIDA

Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya NBC, Elvis Ndunguru (kulia), akizungumza wakati wa mkutano uliondaliwa na NBC kwa wateja wake na wengineo ili kuweza kupata mrejesho wa huduma na bidhaa wazitoazo. Mkutano huo ulifanyika mkoani Singida juzi. Mkurugenzi wa Biashara...
Share:

KAMPENI YA DCB DIGITAL YAZIDI KUPASUA ANGA

Mbunge wa Kondoa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (kulia), akifurahi na Mkuu wa Masoko wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto), Meneja wa DCB Tawi la Dodoma, Joseph Njile (kushoto) pamoja na Ofisa Mikopo wa DCB Dodoma,  Nuru Ashraf,...
Share:

Monday, October 8, 2018

TAXIFY BODA SASA YAZINDULIWA TANZANIA

Kampuni ya Taxify imezindua huduma ya Taxify Boda jijini Dar es salaam na huduma hii sasa inapatikana katika jiji la Dar es salaam na Mwanza.Huduma  hii inawezesha watanzania kupata usafiri wa bodaboda kwa kutumia teknologia ya Taxify App inayopatikana katika simu...
Share:

Monday, October 1, 2018

LSF yaweka mikakati ya kujenga uwezo kuboresha huduma za wasaidizi wa kisheria nchini

Msaidizi wa Kisheria Wilayani Serengeti, Bw. James Sedame (Kushoto) akitoa elimu kuhusu maswala ya kisheria na haki za binadamu kwa wakazi wa Wilaya hiyo. (Mpiga Picha Wetu)Msaidizi wa Kisheria Wilayani Serengeti, Bw. James Sedame (Kushoto) akitoa elimu kuhusu maswala ya...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive