
Huduma ya teknologia ya teksi inayoongoza Ulaya na Afrika ya Taxify leo imezinduliwa jijini Dodoma na mamia ya madereva teksi ambao wamesajiliwa na Taxify wameanza kutoa huduma kwa wananchi.
Huduma ya Taxify mjini Dodoma itatoa njia salama na ya bei nafuu kwa abiria kupata...