Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo
bora cha habari mwaka 2017 (Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali
(TSN), Dk. Jim Yonazi (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo
za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na
wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo
bora cha habari mwaka 2017 (Digital), Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa
TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika
tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa
wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy
Mwanyika akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia
Tanzania,(TBL), Bruno Zambrano (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi
katika tuzo za mwaka huu zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa
wanachama na wadau wake. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy
Mwanyika akimkabidhi Tuzo Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB
anaeshughulika na Mikakati na mahusiano ya wawekezaji, Anna Mwasha (kulia)
baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi wa pili katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa DSE, Moremi Marwa.
Maofisa wa TBL wakifurahia tuzo yao baada ya kuibuka kidedea.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy
Mwanyika akizungumza na wadau pamoja na waandishi wa habari katika hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment