A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Wednesday, February 28, 2018

Danube, GSM partner to support Tanzania government industrialisation sector improvements.



Minister for Industry, Trade and Investment, Hon. Charles Mwijage (second left), addressing a media conference during a signing ceremony of a partnership agreement between GSM and a household furniture dealer, Danube Home, to build a state of art furniture factory at Kigamboni in the outskirt of Dar es Salaam City. Left is Danube Home Managing Director, Sayed Habib, second right is Danube Home country president, Ghalib Mohamed and GSM Marketing Manager, Farida Rubanza.  A brief occasion was held at Danube premises inside Mlimani City Supermarket in Dar es Salaam today.    
Danube Home Managing Director, Sayed Habib (centre), talks to a newsmen in Dar es Salaam today during the signing ceremony of a partnership agreement between Danube Home and GSM to build a state of art furniture factory at Kigamboni in the outskirt of Dar es Salaam City. Looking on left is GSM Director, Fahad Ahmad and Minister for Industry, Trade and Investment, Hon. Charles Mwijage.
Share:

Tuesday, February 27, 2018

GSM NA DANUBE KUJENGA KIWANDA NCHINI

Meneja Masoko wa Kampuni ya GSM Farida Rubanza (kulia),  akizungumza na wandishi wa habari katika hafla  ya utiaji sahihi makubaliano kati ya kampuni hiyo na kampuni ya Danube Home  inayojishughulisha na  biashara ya kuuza samani ambapo kuptia makubaliano hayo watajenga kiwanda kikubwa cha  kutengeneza Samani za ndani  katika eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wanne kushoto ni Waziri  wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji,   Charles  Mwijage  pamoja na maofisa wengine kutoka GSM na Danube.
Waziri  wa ,  Biashara na  Uwekezaji,   Charles  Mwijage (wa pili kushoto),  akizungumza katika hafla ya utiaji sahihi makubaliano kati ya kampuni za GSM na Danube Home  inayojishughulisha na  biashara ya kuuza samani ambapo kuptia makubaliano hayo watajenga kiwanda kikubwa cha  kutengeneza Samani za ndani  katika eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kushotoni Mkurugenzi Mtendaji  wa Danube Home,  Sayed Habib, wapili kulia ni Rais wa Danube Home Tanzania,  Ghalib Mohamed na Meneja Masoko wa GSM, Farida Rubanza. Hafla hiyo ilifanyika kwenye duka la Danube, Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji  wa Danube Home,   Sayed Habib (katikati),  akizungumza na wandishi wa habari katika ya utiaji sahihi makubaliano kati ya kampuni za GSM na Danube Home  inayojishughulisha na  biashara ya kuuza samani ambapo kuptia makubaliano hayo watajenga kiwanda kikubwa cha  kutengeneza samani za ndani  katika eneo la Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa GSM,  Fahad Ahmad pamoja na Waziri  wa Viwanda,  Biashara na  Uwekezaji,    Charles  Mwijage  ambae ndio alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Waziri  wa Viwanda  biashara na  uwekezaji   Charles  Mwijage ambae ndio alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo akisalimiana na mmoja ya wawekezaji kwenye Kampuni ya Danube Home Raymond Healy, wengine ni Maofisa wa Kampuni hiyo.

Waziri wa Viwanda amezipongeza kampuni za GSM na DANUBE Kuweza kuungana na kutaka kuanzisha kiwanda kitakachotengeneza samani mbalimbali hapa nchini. 


Waziri Mwaijage amezungumza leo katika tukio la makubaliano na kati ya kampuni zote mbili ambapo zimekubali kuungana na kuamua kutengeneza kiwanda kitakachozalisha samani mbalimbali ili kuwapa wananchi fursa ya kupata bidhaa kwa ukaribu na kwa bei nafuu  .

Amesema serikali ipo tayari kuwatoa sapoti katika kuhakikicha kiwanda hicho cha kuzalisha samani kinakuwepo nchini ambapo amesema kuanzishwa kwa kiwanda hicho kuyapeleka watanzania kupata ajira na kusaidia kukuza uchumi wa viwanda. 

"Nafahamu kyanzishwa kwa kiwanda hichi kwanza mmenisaidia mimi katika kutekeleza sera ya kukuza uchumi wa viwanda, pia itatengeneza ajira kwa wananchi wetu hivyo ni jambo jema na napenda kiwanda hichi kianzishwe" amesema Mwaijage. 

Aidha amebainisha kuwa kutengenezwa kwa samani katika nchi yetu kitasaidia kukuza soko la biashara na wateja kupata bidhaa kwa bei nafuu na kwa urahisi zaidi. 

 Kwa upande wake  Meneja masoko wa Kampuni ya GSM ,  Farida  Rubanza amesema wana tarajia kujenga kiwanda kikubwa kitakacho kuwa kina tengeneza samani za ndani  (Furniture)  kwa ajili ya kuuza nchini na kusafirisha nchi mbalimbali duniani.

‘’Sisi  GSM na DANUBE tumeona Nivema  tukaungana ilikujenga kiwanda hapahahapa na tutakuwa tuna pata malighafi hapahapa na kiwanda kikikamilika tuta kuwa na uwezo wa  kuuza Contener  500 kwa mwezi na tutauza masoko ya nje na ndani ‘’ alisema .

Rubanza pia ame mshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe. John P.Magufuli na serikali yake kwa  kwa kuweka mazingira Rafiki kwa wawekezaji wa ndani na wa kigeni na kuahidi  kuwa wao kama waekezaji wataendelea kutoa ajira kwa watanzania.


Katika muungano huu  amesema, wataanzisha  DUNUBE home  Academy   na watachukua wahitimu wa vyuo nchi na watawafundisha  na kuwapatia ajira ndani na nje ya nchi walikowekeza na wemgine watawa tafutia ajira sehemu mbalimbali

Kwa upande wake Mkurugenzi wa kampuni ya DANUBE Home Sayed Habib amesema wamewiwa kuja kuwekeza Tanzania kwani ina rasilimali za kuweza kusaidia uzalishaji wa samani hizo. 

Ameishukuru kampuni ya gsm kukubali kufanya muunganiko utakaosaidia kuanzishwa kwa kiwanda icho hapa nchini.
Share:

Monday, February 26, 2018

Barclays offers a Corporate payroll solution through its new Prepaid Card

02%2B%25281%2529
Barclays Bank Tanzania Product Development Manager-Retail and Business Banking, Erica Mwaipopo (right) and bank’s Marketing and Corporate Relations Executive, Nasikiwa Berya, displays a dummy of the just launched BBT prepaid card at a  function in Dar es Salaam
today​


26 February, 2018, Dar es Salaam – Barclays Bank Tanzania Limited customers receives a new card payment solution.
Barclays Corporate clients can now eliminate the hassle of making cash payments to their employees through the Barclays Prepaid Card Corporate payroll solution.  

Speaking during the announcement, the Barclays Product Development Manager– Retail and Business Banking, Erica Mwaipopo said “This new product will enable employers to pay their employees (who don’t even need a bank account) their salaries/wages, expenses and allowances. Furthermore, the card can be used like a normal Visa debit card allowing the employees to use it to pay for shopping, meals and hotel stays, or to withdraw cash from ATMs”.  
In recent years, Barclays was awarded the VISA Agile Award which recognizes the best acquiring bank in Tanzania. The award showcases the bank’s commitment to providing card payment solutions for all Tanzanian’s.

Also in attendance, was the Barclays Senior Account Manager-Barclaycard Acquiring, John Mcharo who said “We are very excited about this new product, we believe in providing our customers with solutions which will truly transform their way of doing business. This new card will allow employers to handle less cash, reduce the use of cheques as a payment solution and provide full control over payments”.  

The Barclays Prepaid Card is an agile solution that allows corporates and government to issue preloaded cards to recipients as part of a programme where control of cash is vital. 


For further information please contact:
Aron Luhanga
Head, Marketing & Corporate Relations
Barclays Bank Tanzania
+255 22 228 2018
Notes to Editors:
About Barclays Bank Tanzania
Barclays Bank Tanzania has been operating in Tanzania for the past 10 years and currently boasts a network of 15 branches, 55 ATMs strategically located countrywide.
Barclays Bank Tanzania Limited first opened its doors in Tanzania in 1925 and continued to operate in the country until 1967 when its Tanzania operations were nationalized to become National Bank of Commerce. With the liberalization of the economy in 1990s, Barclays Bank Plc made a decision to re-enter the Tanzania market and re-opened its doors in the year 2000. Barclays Bank Tanzania now has 17 branches, 51 ATMs strategically located countrywide, over 400 employees and over 110,000 customers.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
About Barclays Africa Group
Barclays Africa Group Limited (“Barclays Africa” or “the Group”) is listed on the Johannesburg Stock Exchange and is one of Africa’s largest financial services groups.  Barclays Africa is 23.4% owned by Barclays Bank PLC (“Barclays PLC”).
Barclays Africa is a fully local, fully regional world-class bank, offering personal and business banking, credit cards, corporate and investment banking, wealth and investment management and insurance.
The Group operates in 12 countries with approximately 40 thousand employees, serving close to 12 million customers.
 The Group’s registered head office is in Johannesburg, South Africa and owns majority stakes in banks in Botswana, Ghana, Kenya, Mauritius, Mozambique, Seychelles, South Africa, Tanzania (Barclays Bank Tanzania and National Bank of Commerce), Uganda and Zambia.  The Group also has representative offices in Namibia and Nigeria.
For further information about Barclays Africa, please visit www.barclaysafrica.com
Share:

Wednesday, February 21, 2018

Tanga Cement yaboresha sekta ya afya na elimu Singida

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Reinhardt Swart (kulia), akikabidhi msaada wa  mifuko 3500 ya Saruji yenye thamani ya shs 46,462,500 kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba  kusaidia uboreshaji wa sekta ya afya na elimu katika halmashauri ya Iramba mkoani Singida. Hafla hiyo ilifanyika eneo la kiwanda,  Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na viongozi wa halmashauri.

Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo Mkurugenzi Mtendaji wa TCPLC, Reinhardt Swart (kulia), alikabidhi msaada wa  mifuko 3500 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 46,462,500 kwa Waziri wa Ndani, Mwigulu Nchemba (wa pili kulia), kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule 22 za kata  ya halmashauri ya Iramba mkoani singida. Makabidhiano yalifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na viongozi wa halmashauri.

Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi (kulia), akikabidhi msaada wa  mifuko 3500 ya Saruji yenye thamani ya shs 46,462,500 kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwiguru Nchemba  kusaidia uboreshaji wa sekta ya afya na elimu katika halmashauri ya Iramba mkoani Singida. Hafla hiyo ilifanyika enel la kiwanda, Pongwe, Tanga jana. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa kampuni hiyo,  Bi. Mtanga Noor, Meneja Kiwanda Mhandisi Ben Leman a Mkurugenzi Mtendaji, Reinhardt Swart.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi  Ben Lema (kushoto), akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (katikati), alipokwenda kupokea msaada wa  mifuko 3500 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 46,462,500 iliyokabidhiwa kwake na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Reinhardt Swart (kushoto kwa waziri), kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika shule 22 za kata  ya  halmashauri ya Iramba mkoani singida.
Waziri wa Mambo ya Nchi, Mwigulu Nchemba (wa pili kulia), akizungumza baada ya kupokea msaada wa mifuko 3500 ya saruji yenta thamani ya shs 46,462,500  kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Tanga Cement (TCPLC) , Reinhardt Swart (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika shule 22 za kata  ya Halmashauri ya Iramba mkoani singida. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na viongozi wa halmashauri.
Share:

Sunday, February 18, 2018

Program ya Wajibika ya Benki ya NBC mkombozi kwa vijana

Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Mussa Severin (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Adeth Philimon (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Oliver Proper (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Deogratus Alexanda (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Flora Odunda (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Geofrey Frank (kushoto),anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Meneja Huduma za Jamii wa Benki ya NBC, Irene Peter (kulia), akikabidhi cheti kwa Vedastus Yegela (kushoto), anayesomea shahada ya sanaa na elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Saint John ambaye ni mmoja wa wahitimu wa progam ya Wajibika ya NBC  yenye lengo la kuwawezesha  vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za  elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na isiyo rasmi. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Ilala Bungoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Mratibu kutoka asasi ya Restless Development, Sofia Jagbrant.
Share:

Saturday, February 17, 2018

Mkazi wa Dar ajishindia Suzuki Carry 'Kirikuu' promosheni ya Zantel Jero Yako


Washindi wa zawadi mbalimbali wa promosheni ya Jero Yako kutoka Zantel wakipozi kwa  picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Zantel Bw. Sherif El-Barbary ( katikati – mwenye t-shirt nyeusi) pamoja na wafanyakazi wengine wa Zantel mjini Zanzibar hivi karibuni.
Mmoja wa shindi wa promosheni ya Jero Yako ya Zantel Ibrahim Ambar Khamis akijaribu zawadi yake ya boda boda mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Zantel mjini Zanzibar, Mohamed Khamis Mussa (kulia), visiwani humo hivi karibuni.
Mmoja wa washindi wa Jero Yako ya kampuni ya Zantel aliyejishindia baiskeli, Rashidi Abeid (kushoto), akipongezwa na Ali Abdallah Ali kutoka Zantel katika hafla iliofanyika mjini Zanzibar juzi.
Mfanyakazi wa Zantel visiwani Zanzibar, Nayrat Zahor (kulia) akikabidhi zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kwa mshindi wa Promosheni ya Jero Yako, Bilkiss yussufmia daudi visiwani humo hivi karibuni
 Mmoja wa washindi wa Jero Yako ya kampuni ya Zantel aliyejishindia baiskeli, Wahida Simai Ubwa (kushoto), akipongezwa na Shinuna Kassim wa  Zantel katika hafla iliofanyika mjini Zanzibar juzi.
Mfanyakazi wa Zantel mjini Zanzibar, Mohamed Jaye (kulia), akikabidhi zawadi ya baiskeli kwa mmoja wa washindi wa promosheni ya Jero Yako, Burhan Salum Mohamed katika hafla iliyofanyika visiwani humo hivi karibuni.
Meneja Masoko wa Zantel Tanzania, Rukia Mtingwa (kulia), akipiga simu kwa mshindi wa mwezi wa promosheni ya Jero Yako ambapo mkazi wa jijini Dar es Salaam, Twaha Abdallah Seif alijishindia gari jipya aina ya Suzuki Carry ‘Kirikuu’. Katikati ni Meneja wa Huduma na Bidhaa wa Zantel Rehema Tarimu na Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humudi Abdulhussein. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.

Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive