A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Monday, December 20, 2021

Benki ya Absa Tanzania wasaidia watoto wanaougua saratani

 
Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula (wa tatu kushoto) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani ya Hospitali ya Taifaya Muhimbili, David Makunji vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kulia ni Meneja wa Huduma za Jamii wa Benki ya Absa, Hellen Siria, Meneja Rasilimali Watu wa benki hiyo, Anna Chacha, Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya watoto, Dk. Regina Kibona na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Bi. Sekela Msita.
Meneja Rasilimali Watu wa Benki ya Absa Tanzania, , Anna Chacha ( wa tatu kulia ) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya Watoto wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dk. Regina Kibona vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula ,Meneja wa Huduma za Jamii wa benki hiyo, Hellen Siria, Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani, David Makunji na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Bi. Sekela Msita.
Meneja wa Huduma za Jamii wa Benki ya Absa, Hellen Siria (wa tatu kulia) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Regina Kibona, vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula , Meneja Rasilimali watu wa benki hiyo, Anna Chacha, Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani, David Makunji na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Sekela Msita.
Mkuu wa Uendeshaji na Utoaji Huduma wa Benki ya Absa Tanzania, Mabula Elias Mabula (kulia) akikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari kwa Mkuu wa Kitengo cha Saratani ya Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Regina Kibona vilivyotolewa na wafanyakazi wa benki hiyo hospitalini hapo, jijini Dar es Salaam jana.Wengine kutoka kushoto ni Ofisa Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Watoto wenye Saratani, David Makunji na Balozi wa Watoto wenye Saratani, Sekela Msita.
Wafanyakazi wa Benki ya Absa pamoja na baadhi ya watumishi wa wodi ya watoto wenye saratani baada ya kukabidhi msaada wa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo sabuni, mchele, mafuta, unga na sukari walipofika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam jana.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive