



A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.
CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.
TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.
THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.
BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week




Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb). wa pili (kushoto), akibonyeza ripoti kuashiria uzinduzi rasmi wa Muonekano mpya wa jina na Nembo mpya ya Benki mpya ya Serikali ya Biashara Tanzania Commercial Bank (TIB) ambayo ni muunganiko wa Benki mbili TIB pamoja na Benki ya Posta TPB zenye lengo la kuleta ushindani wa kibiashara. Wengine pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TCB Sabasaba Moshingi, Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo Edmund Mndolwa pamoja na viongozi wengine kutoka Serikalini.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Muonekano mpya wa jina na Nembo mpya ya Benki mpya ya Serikali ya Biashara Tanzania Commercial Bank (TIB) ambayo ni muunganiko wa Benki mbili TIB pamoja na Benki ya Posta TPB zenye lengo la kuleta ushindani wa kibiashara.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TCB Sabasaba Moshingi, akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Muonekano mpya wa jina na Nembo mpya ya Benki mpya ya Serikali ya Biashara Tanzania Commercial Bank (TIB) ambayo ni muunganiko wa Benki mbili TIB pamoja na Benki ya Posta TPB zenye lengo la kuleta ushindani wa kibiashara.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (watatu kushoto), akikabidhiwa mfano wa kadi zitakazotumika katika Benki hiyo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TCB Sabasaba Moshingi, wapili kulia
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchwmba akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo Edmund Mndolwa.


















Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa (wa tatu kulia), akikabidhi baadhi ya misaada kwa Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Child in the Sun, Padri Paul Raj kinachoendeshwa chini ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi rasmi wa mpango maalumu wa shule hiyo wenye lengo la kuwafundisha wanafunzi wake kuwa na utamaduni wa kujitolea kusaidia jamii yenye mahitaji. Mpango huo uliasisiwa mwaka 2019 na aliyewahi kuwa Meneja wa Sekondari ya Sullivan, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Sullivan Provost, Fanuel Nashon, Meneja wa shule hiyo, Richard Samwel Mkami pamoja na baadhi ya watoto wanaolelewa kituoni hapo.
Mkuu wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost, Fanuel Nashon, akikabidhi baadhi ya misaada kwa mmoja ya watoto wanaoelelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto wenye Mahitaji cha Child in the Sun kinachoendeshwa na kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mpango maalumu wa shule hiyo wenye lengo la kuwafundisha wanafunzi wake kuwa na utamaduni wa kusaidia jamii yenye mahitajii. Mpango huo uliasisiwa mwaka 2019 na aliyewahi kuwa Meneja wa Sekondari ya Sullivan, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu. Wengine kutoka kulia ni msimamizi wa kituo hicho, Padri Paul Raj, Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Sekondari ya Sullivan Provost, Rachel Mwalukasa pamoja na vijana wanaolelewa kituoni hapo.
Meneja wa shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan Provost , Richard Samwel Mkami (kulia), akikabidhi baadhi ya misaada kwa Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Child in the Sun, Padri Paul Raj kinachoendeshwa chini ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi rasmi wa mpango maalumu wa shule hiyo wenye lengo la kuwafundisha wanafunzi wake kuwa na utamaduni wa kujitolea kusaidia jamii yenye mahitaji. Mpango huo uliasisiwa mwaka 2019 na aliyewahi kuwa Meneja wa Sekondari ya Sullivan, Mhandisi Eric Samwel Mkami ambaye sasa ni marehemu. Wengine pichani ni vijana wanaolelewa katika kituo hicho.