A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Saturday, April 23, 2022

Absa Bank pledges to maintain quality services for sustainable growth

Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Ndabu Lilian Swere speaking to the media about the iftar meal hosted by Absa to its Zanzibar customers and stakeholders in the Isle yesterday.Absa Bank Tanzania Head of Business Banking, Melvin Saprapasen (right), serves an Iftar meal...
Share:

Friday, April 22, 2022

WANANCHI IKUNGI WAHIMIZWA KUTUNZA CHAKULA ILI KUJIKIGA NA BAA LA NJAA

 Mwenyekiti  wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi Mika Likapakapa akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Mwisi Kata ya Lighwa katika mkutano wa hadhara wa kuzungumzia maendeleo na kupokea kero za wananchi ili zifanyiwe kazi ulioandaliwa na Diwani wa Kata...
Share:

Thursday, April 21, 2022

AKIBA COMMERCIAL BANK YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR ES SALAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank  Plc Silvest Arumas akizungumza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo ikiwa ni sehemu ya jitihada za benki hiyo katika kuwajali wateja wake Baadhi ya wageni waalikwa wakifuturu katika hafla iliyoandaliwa...
Share:

Wednesday, April 20, 2022

BENKI YA ABC YATOA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILIONI 2 KUSAIDIA UJENZI WA CHOO CHA WAALIMU SHULE YA MSINGI MTAWALA MANISPAA YA MOROGORO.

 Meneja BANC ABC-Kanda ya Morogoro , Raphael Kalinga,(katikati), akikabidhi vifaa vya ujenzi wa Choo kwa Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Morogoro, Chausiku masegenya (wapili kutoka kulia), kulia Diwani wa Viti Maalum Mhe. Hadija Kibati.Meneja BANC ABC-Kanda ya Morogoro...
Share:

Wednesday, April 13, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK YASHIRIKIANA NA TRC KUZINDUA UJENZI WA RELI TABORA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Nd Sabasaba Moshingi  akiweka udongo kwenye jiwe la msingi wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha nne (SGR) kinachotoka Tabora hadi Makutupora, Mkoani Dodoma iliyofanyika Cheyo...
Share:

Sunday, April 10, 2022

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI RUANGWA

  Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Ruangwa Mkoani Lindi, Upendo Mfilinge akikabidhi msaada wa taulo za kike kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Likunja Barnabas Kwangu wakati wafanyakazi wa benki hiyo tawi la Ruangwa walipoadhimisha siku ya mwanamke duniani inayofanyika...
Share:

Wednesday, April 6, 2022

TANZANIA COMMERCIAL BANK LAUNCHES NEW BRANCH MBAGALA CHARAMBE

Temeke District Commissioner Jokate Mwegello with Acting Chief Executive Officer of Tanzania Commercial Bank Moses Manyatta opening the curtain to mark the official launch of the Bank's new Branch opened at Mbagala Charambe in Dar es Salaam today.Temeke District Commissioner...
Share:

Sunday, April 3, 2022

WAKAZI WA RUANGWA WAASWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Na Mwandishi wetu, RuangwaTanzania itafanya Sensa ya Watu na Makazi mwezi Agosti mwaka 2022 katika siku itakayotangazwa na Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hayo yametanabaishwa na Mratibu wa Sensa ya Watu na Makazi Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Mchumi-Tumsime Lazaro...
Share:

Friday, April 1, 2022

Absa Tanzania yahamasisha watanzania kuchanja chanjo ya Covid-19

Mkurugenzi wa Makampuni Makubwa na Uwekezaji wa Benki ya Absa Tanzania, Hugo Chilufya (wa tatu kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya kukabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa Shirika la Kimataifa la Mambo ya Afya la Fhi360 kusaidia kampeni...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more